Serikali kutoa elimu kwa wakulima wadogo wa Pamba.
Na Gloria Matola,
Pwani Bagamoyo.
Serikali imejipanga kuendelea kuwaelimisha wakulima wadogo wadogo wa zao la pamba waliopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ili wafikie hatua ya kulifanya zao hilo kuwa la kibiashara zaidi ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na hali ya umasikini uliokithiri kwenye ukanda wa Mashariki.
Hayo yameelezwa kwenye ziara ya Bodi ya Pamba kwa kushirikiana na Chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Pwani CORECU na TACOGA lengo likiwa ni kuwahamasisha wakulima wa zao hilo kurejea...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo29 Jan
Kikwete asisitiza elimu ya kilimo kwa wakulima wadogo
RAIS Jakaya Kikwete amesema ili Tanzania ijitosheleze kwa chakula na iweze kuuza ziada, lazima kuendeleza wakulima wadogo kwa kuwapa elimu ya kilimo bora, mtaji na soko.
10 years ago
VijimamboTAASISI YA KILAWA ENTERPRISES YAJIKITA KUTOA ELIMU KWA WAKULIMA
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Serikali isikilize kilio cha wakulima wa pamba
10 years ago
MichuziSERIKALI YA ZANZIBAR YAENDELEA KUTOA ELIMU BURE KWA WATOTO
14.6.2015
LICHA ya kupanda kwa gharama za uendeshaji wa sekta ya elimu hapa Zanzibar na duniani kote, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuhakikisha elimu inaendelea kutolewa bure kwa watoto wa Zanzibar kama ilivyotangazwa na Marehemu Mzee Abeid...
5 years ago
CCM BlogSERIKALI YAZINDUA MPANGO WA KUTOA ELIMU YA AFYA KWA WAKAZI WA DAR
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiongea wakati wa kuzindua mpango huo.
Serikali imezindua mpango maalumu wa kutoa elimu ya afya kwa umma katika Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na kuwapo kwa ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa Corona ikiwa ni mwendelezo wa kuwafikia watu wengi katika ngazi ya mtaa.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akizundua mpango wa elimu ya afya kwa...
9 years ago
Dewji Blog15 Sep
Serikali yaendelea kutoa elimu ya Sheria ya makosa ya mtandao kwa Maafisa Habari
Mkurugenzi msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi Zamaradi Kawawa akifurahia jambo na Mkuu wa Masuala ya Siasa na Habari wa Umoja wa nchi za Ulaya (EU) nchini Tanzania Bi Luana Reale wakati wa warsha ya Maafisa Mawasiliano Serikalini kuhusu Sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 (cybercrime Act 2015. iliyofanyika jana Jijini Dar es salaam.(Picha zote na Frank Mvungi-Maelezo).
11 years ago
MichuziMFUKO WA UTT WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA WAKULIMA JUU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI MKOANI LINDI
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Kampeni ya GROW yaendesha mdahalo wa kuhamasisha wakulima wadogo wadogo wanawake
5 years ago
MichuziSerikali yazindua mpango maalumu wa kutoa elimu ya afya kwa wakazi wa Dar es Salaam
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiongea wakati wa kuzindua mpango huo.
Serikali imezindua mpango maalumu wa kutoa elimu ya afya kwa umma katika Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na kuwapo kwa ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa Corona ikiwa ni mwendelezo wa kuwafikia watu wengi katika ngazi ya mtaa.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akizundua mpango wa elimu ya afya kwa umma kwa...