Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete asisitiza elimu ya kilimo kwa wakulima wadogo

RAIS Jakaya Kikwete. RAIS Jakaya Kikwete amesema ili Tanzania ijitosheleze kwa chakula na iweze kuuza ziada, lazima kuendeleza wakulima wadogo kwa kuwapa elimu ya kilimo bora, mtaji na soko.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Asisitiza elimu kwa wachimbaji wadogo

WATENDAJI wa Wizara ya Nishati na Madini waliopewa dhamana ya kusimamia sheria za wachimbaji wadogo hapa nchini, wametakiwa kuzunguka kwa wachimbaji wadogo kutoa elimu juu ya uchimbaji wa kufuata sheria.

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPENI YA HAKI YA UCHUMI KATIKA MASWALA YA KILIMO YAENDESHA MDAHALO WA KUHAMASISHA WAKULIMA WADOGO WADOGO HUSUSANI WANAWAKE.


Meneja wa Kampeni haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona akifungua Mdahalo huo na mafunzo juu ya Kujenga hoja ya upatikanaji wa Chakula na haki ya chakula, Kufuatilia upatikanaji wa haki kwenye Rasilimali za Ardhi na matumizi yake,na kuhamasisha uwekezaji kwa wakilima wadogo wadogo Hususani wanawake kwenye Muktadha wa mabadiliko ya Tabia nchi, katika kampeni ya GROW Mmoja wa washiriki wa Semina hiyo akielezea matarajio yake akiwa kama Mama shujaa wa Chakula na Mkulima mwanamke Jinsi...

 

10 years ago

StarTV

Serikali kutoa elimu kwa wakulima wadogo wa Pamba.

Na Gloria Matola,

Pwani Bagamoyo.

Serikali imejipanga kuendelea kuwaelimisha wakulima wadogo wadogo wa zao la pamba waliopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ili wafikie hatua ya kulifanya zao hilo kuwa la kibiashara zaidi ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na hali ya umasikini uliokithiri kwenye ukanda wa Mashariki.

Hayo yameelezwa kwenye ziara ya Bodi ya Pamba kwa kushirikiana na Chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Pwani CORECU na TACOGA lengo likiwa ni kuwahamasisha wakulima wa zao hilo kurejea...

 

11 years ago

Mwananchi

KILIMO: ‘Kampuni za matrekta hazijawakomboa wakulima wadogo’

>Pamoja na kuwapo kampuni nyingi za kuuza matrekta nchini, bado hali hiyo haijaweza kuwakomboa wakulima wadogo kwa vile hakuna sera ya kuwakopesha wazalishaji hao ambao rasilimali yao kubwa ni ardhi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wakulima wadogo wamtaka Magufuli kuwekeza katika kilimo

Wazalishaji na wakulima wadogo nchini wamemtaka Rais John Magufuli, kuwekeza katika kilimo ili kukamilisha kaulimbiu yake ya Tanzania yenye viwanda pamoja na kutekeleza sera za kilimo chenye tija.

 

10 years ago

GPL

VODAFONE YAZINDUA MPANGO WA KILIMO KLUB KUWAKOMBOA WAKULIMA WADOGO

Mtama ukiwa umestawi vizuri katika moja ya shamba, hivi leo Kampuni ya mawasiliano ya Vodafone imezindua mpango  maalumu  wa kuboresha maisha ya wakulima wadogo wa Kilimo Klub utakaoanza kutekelezwa Tanzania. Zabibu zikiwa zimestawi vizuri katika moja ya shamba Dodoma vijijini kufuatia kilimo bora na cha kisasa, kilimo hichi kinaongezewa nguvu na kampuni ya Vodafone.… ...

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima 9,000 wanufaika na elimu ya kilimo

WAKULIMA zaidi ya 9,000 kutoka wilaya mbalimbali mkoani Arusha, wamenufaika na elimu ya kuboresha kilimo na kuongezea thamani mazao yao na hatimaye kuwezesha kulima kilimo chenye tija na kuweza kupata masoko ndani na nje ya nchi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampeni ya GROW yaendesha mdahalo wa kuhamasisha wakulima wadogo wadogo wanawake

 Meneja wa Kampeni haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona akifungua mdahalo huo na mafunzo juu ya kujenga hoja ya upatikanaji wa chakula na haki ya chakula, kufuatilia upatikanaji wa haki kwenye rasilimali za ardhi na matumizi yake,na kuhamasisha uwekezaji kwa wakilima wadogo wadogo Hususani wanawake kwenye Muktadha wa mabadiliko ya Tabia nchi, katika kampeni ya GROW.   Mmoja wa washiriki wa Semina hiyo akielezea matarajio yake akiwa kama Mama shujaa wa Chakula na mkulima mwanamke...

 

11 years ago

Michuzi

BRN yapongezwa kwa kuwasaidia wakulima wadogo

Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) umepongezwa kwa kuweka katika moja ya sekta zake za kipaumbele, miradi ya kilimo inayolenga kuwasaidia wakulima wadogo nchini.
Kauli hiyo imetolewa Dar es Salaam jana na Mwakilishi wa Rais wa Mpango wa UN wa Kusaidia Uwekezaji katika Kilimo (IFAD), Yaya Olanirani, wakati ujumbe wa taasisi hiyo ulipokutana na watendaji mbalimbali wa Serikali. IFAD ni asasi ya Umoja wa Mataifa inayosaidia uwekezaji katika kilimo.
"Tumefurahishwa na miradi ya BRN...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani