Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima waomba dawa ya kuua wadudu wanaoshambulia Pamba.

Na Salma Mrisho

Geita

 

Wakulima wa zao la Pamba mkoani Geita wameiomba Serikali kutatua tatizo la upatikanaji wa dawa ya kuua wadudu shambani kwa wakati kwani mazao yao yameanza kushambuliwa na wadudu na wana hofu ya kuharibikiwa zao hilo la pamba ambalo wamedai kuwa limestawi vizuri kwa msimu huu.

 

Waliongeza kuwa ni vyema pia ukaangaliwa utaratibu mpya wa ugawaji wa mbegu uende sambamba na ugawaji wa madawa ili kuondoa kero kama zinazowakumba kwa sasa.

 

Kilimo cha zao la Pamba ambacho...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA ATEMBELEA KIWANDA CHA DAWA ZA KUUA WADUDU, KIBAHA MKOANI PWANI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mitambo ya kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu kinachojengwa na watalaamu kutoka Cuba, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watalaamu kutoka Cuba wanaojenga kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kiwanda cha kutengeneza dawa za wadudu hasa mbu, kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uganda: Watoto wafariki baada kula vitafunwa vilivyopikwa kwa dawa ya kuua wadudu

Watoto wawili wamekufa huku wengine 11 wakipata matibabu baada ya kula kitafunwa mfano wa hamri lenye sumu

 

5 years ago

Michuzi

TUNAANZA RASMI ZOEZI LA KUPULIZA DAWA YA KUUA WADUDU NA KUENEA KWA VIRUSI VYA CORONA KESHO-RC MAKONDA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amesema mkoa huo utaanza rasmi kesho zoezi la kupuliza dawa ya kuua vijidudu na kudhibiti kuenea kwa Virusi vya Corona katika maeneo mbalimbali ya Jiji hilo ambapo amewataka wananchi wasiwe na hofu pindi wanapoona magari yanapita mitaani kupuliza dawa.
RC Makonda amesema kwa kufanya hivyo  itasaidia pia kuua Vimelea na Wadudu kama Mbu wanaoenzeza ugonjwa wa Malaria, homa ya dengu na magonjwa mengineyo na kufanya jiji hilo kuwa katika hali nzuri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pamba iwakomboe wakulima

PAMBA ni miongoni mwa mazao  ya biashara nchini ambayo yamekuwa chimbuko la maendeleo yetu hata tukawa na viwanda. Pamoja na pamba yapo mazao ya korosho, kahawa,mkonge,alizeti na ufuta ambapo mengine...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima wa pamba wazidi kukandamizwa

Wakulima wa pamba Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wameilalamikia Bodi ya Pamba kushindwa kuwasimamia na kuwatetea kwa kile walichodai kupandishwa bei ya mbegu ya zao hilo kutoka Sh 300 hadi 500.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima wa pamba walilia pembejeo

>Wakulima wa zao la pamba mkoani Mara, wamelalamikia ukosefu wa pembejeo, hususani dawa ya kunyunyuzi zao hilo pamoja na kilimo cha mkataba kwa madai sasa hakiwanufaishi.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Watakaowakopesha wakulima kuuziwa pamba’

Wadau wa Bodi ya Pamba mkoani Geita wamekubaliana kuwa kampuni zilizokopesha pembejeo kwa wakulima ndizo zitakazopewa leseni ya kununua pamba kwa kuzingatia ushiriki wa kampuni hizo katika kilimo cha mkataba.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU ETHIOPIA, RAIS KIKWETE WAZINDUWA KIWANDA CHA DAWA ZA WADUDU

Waziri Mkuu Ethiopia, Hailemariam Desalegm pamoja na Rais Jakaya Kikwete wakiwasili katika uzinduzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viuawadudu vya Kuua Viluwiluwi wa Mbu mjini Kibaha. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa ushirikiano na Kampuni ya LABIOFAM ya nchini Cuba. Waziri Mkuu Ethiopia, Hailemariam Desalegm pamoja na Rais Jakaya Kikwete wakiwasili katika uzinduzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viuawadudu vya Kuua Viluwiluwi wa Mbu mjini Kibaha. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa ushirikiano na Kampuni ya LABIOFAM ya nchini Cuba.Rais Jakaya Kikwete na mgeni wake Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegm wakiwa wamesimama kuimba nyimbo za taifa la Tanzania na Ethiopia katika hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viuawadudu vya Kuua Viluwiluwi wa Mbu mjini Kibaha. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa ushirikiano na Kampuni ya LABIOFAM ya nchini Cuba. Rais Jakaya Kikwete na mgeni wake Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegm wakiwa wamesimama kuimba nyimbo za taifa la Tanzania na Ethiopia katika hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kutengeneza...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanunuzi wa pamba, wakulima kuingia mkataba

Kikundi cha wanunuzi na wachambuzi wa pamba (Kiwapa) wilayani Kwimba mkoani Mwanza kimeanzisha kilimo cha pamba kwa mkataba ili kuongeza tija kwa wakulima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani