Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. PINDA ATEMBELEA KIWANDA CHA DAWA ZA KUUA WADUDU, KIBAHA MKOANI PWANI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mitambo ya kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu kinachojengwa na watalaamu kutoka Cuba, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watalaamu kutoka Cuba wanaojenga kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kiwanda cha kutengeneza dawa za wadudu hasa mbu, kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Pinda atembelea kiwanda chaviua wadudu Kibaha

PG4A1825

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiakagua mitambo ya kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu kinachojengwa na watalaamu kutoka Cuba, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1837

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watalaamu kutoka Cuba wanaojenga kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1842

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kiwanda cha kutengeneza dawa za wadudu hasa Mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8,...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU ETHIOPIA, RAIS KIKWETE WAZINDUWA KIWANDA CHA DAWA ZA WADUDU

Waziri Mkuu Ethiopia, Hailemariam Desalegm pamoja na Rais Jakaya Kikwete wakiwasili katika uzinduzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viuawadudu vya Kuua Viluwiluwi wa Mbu mjini Kibaha. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa ushirikiano na Kampuni ya LABIOFAM ya nchini Cuba. Waziri Mkuu Ethiopia, Hailemariam Desalegm pamoja na Rais Jakaya Kikwete wakiwasili katika uzinduzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viuawadudu vya Kuua Viluwiluwi wa Mbu mjini Kibaha. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa ushirikiano na Kampuni ya LABIOFAM ya nchini Cuba.Rais Jakaya Kikwete na mgeni wake Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegm wakiwa wamesimama kuimba nyimbo za taifa la Tanzania na Ethiopia katika hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viuawadudu vya Kuua Viluwiluwi wa Mbu mjini Kibaha. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa ushirikiano na Kampuni ya LABIOFAM ya nchini Cuba. Rais Jakaya Kikwete na mgeni wake Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegm wakiwa wamesimama kuimba nyimbo za taifa la Tanzania na Ethiopia katika hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kutengeneza...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

StarTV

Wakulima waomba dawa ya kuua wadudu wanaoshambulia Pamba.

Na Salma Mrisho

Geita

 

Wakulima wa zao la Pamba mkoani Geita wameiomba Serikali kutatua tatizo la upatikanaji wa dawa ya kuua wadudu shambani kwa wakati kwani mazao yao yameanza kushambuliwa na wadudu na wana hofu ya kuharibikiwa zao hilo la pamba ambalo wamedai kuwa limestawi vizuri kwa msimu huu.

 

Waliongeza kuwa ni vyema pia ukaangaliwa utaratibu mpya wa ugawaji wa mbegu uende sambamba na ugawaji wa madawa ili kuondoa kero kama zinazowakumba kwa sasa.

 

Kilimo cha zao la Pamba ambacho...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusindika  tumbaku  cha mkoani Ruvuma na kuwasimamisha kazi viongozi wa Chama Cha Kikuu Cha Ushirika cha SONAMCU.
Akizungumza  jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uganda: Watoto wafariki baada kula vitafunwa vilivyopikwa kwa dawa ya kuua wadudu

Watoto wawili wamekufa huku wengine 11 wakipata matibabu baada ya kula kitafunwa mfano wa hamri lenye sumu

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA KIWANDA CHA TREKTA POLAND



WAZIRI MKUU Mizengo Pinda atatuma wataalamu wa sekta ya kilimo ili waje kufuatilia suala la mahitaji ya trekta ili kuziba pengo la mahitaji yake nchini Tanzania.


Alisema lengo la Serikali la kuanzisha sera ya Kilimo Kwanza lilikuwa ni kuwasaidia wakulima kupata ruzuku ya pembejeo, mbegu bora, na dawa za mifugo ili waweze kuongeza ushalishaji.


“Kutokana na mkopo wa Serikali ya India, tulipata matrekta 1,846 ambayo hayakuchukua muda kuisha. Sasa hivi tunatafuta wabia wengine wa kutupatia...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIWANDA CHA MBOLEA CHA MINJINGU MKOANI MANYARA

Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akikagua uzalishaji wa mbolea mara baada ya kutembelea kiwanda cha mbolea cha Minjingu (Minjingu Mines and Fertilizer Ltd) kilichopo katika eneo na Kata ya Minjingu Mkoani Manyara tarehe 19 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo mara baada ya kutembelea kiwanda cha mbolea cha Minjingu (Minjingu Mines and Fertilizer Ltd) kilichopo katika eneo na Kata ya Minjingu Mkoani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani