Pinda atembelea kiwanda chaviua wadudu Kibaha
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiakagua mitambo ya kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu kinachojengwa na watalaamu kutoka Cuba, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watalaamu kutoka Cuba wanaojenga kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kiwanda cha kutengeneza dawa za wadudu hasa Mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
MH. PINDA ATEMBELEA KIWANDA CHA DAWA ZA KUUA WADUDU, KIBAHA MKOANI PWANI
.jpg)
.jpg)
.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda...
11 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA KIWANDA CHA TREKTA POLAND

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda atatuma wataalamu wa sekta ya kilimo ili waje kufuatilia suala la mahitaji ya trekta ili kuziba pengo la mahitaji yake nchini Tanzania.
Alisema lengo la Serikali la kuanzisha sera ya Kilimo Kwanza lilikuwa ni kuwasaidia wakulima kupata ruzuku ya pembejeo, mbegu bora, na dawa za mifugo ili waweze kuongeza ushalishaji.
“Kutokana na mkopo wa Serikali ya India, tulipata matrekta 1,846 ambayo hayakuchukua muda kuisha. Sasa hivi tunatafuta wabia wengine wa kutupatia...
10 years ago
Vijimambo03 Jul
WAZIRI MKUU ETHIOPIA, RAIS KIKWETE WAZINDUWA KIWANDA CHA DAWA ZA WADUDU

11 years ago
Habarileo12 Apr
Kiwanda cha chanjo kufunguliwa Kibaha
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, ipo katika hatua za mwisho kufungua kiwanda cha chanjo ya mifugo cha Kibaha cha mkoani Pwani huku ikiwataka wananchi kuongeza kasi ya uzalishaji wa kuku ili kukabiliana na ukuaji wa soko la bidhaa hiyo ambalo kwa sasa linakua kwa kasi nchini.
10 years ago
Dewji Blog09 May
Waziri Mkuu akagua kiwanda cha viuadudu Kibaha
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiakagua mitambo ya kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu kinachojengwa na watalaamu kutoka Cuba, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watalaamu kutoka Cuba wanaojenga kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kiwanda cha kutengeneza dawa za wadudu hasa Mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8,...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Rais Kikwete kufungua kiwanda cha Viuadudu leo mjini Kibaha
Press Release.doc
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
KINANA ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI MTIBWA
Apewa taarifa ya maendeleo ya kiwanda tangu kilipoanzishwa na Baba wa Taifa mwaka 1982, kilipo binafsishwa mwaka 2011 na mpaka sasa.Aambiwa kuporomoka kwa dola ya kimarekani pamoja na kuingizwa sukari nchi bila utaratibu kuna athiri sana ukuaji na uendeshaji wa viwanda vya sukari nchini.