KINANA ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI MTIBWA
Apewa taarifa ya maendeleo ya kiwanda tangu kilipoanzishwa na Baba wa Taifa mwaka 1982, kilipo binafsishwa mwaka 2011 na mpaka sasa.Aambiwa kuporomoka kwa dola ya kimarekani pamoja na kuingizwa sukari nchi bila utaratibu kuna athiri sana ukuaji na uendeshaji wa viwanda vya sukari nchini.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia baadhi ya picha za ukutani wakati akiingia kwenye ofisi za kiwanda cha Sukari cha Kagera (Kagera Sugar)akiongozana na na Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Bw....
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziRC Makalla atembelea kiwanda cha sukari TPC, akerwa na sukari inayoingia kwa wingi kutoka nje
Na Mwandishi Wetu, KilimanjaroMKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara katika kiwanda cha Sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro ili kujionea hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. RC Makalla alijionea hali halisi ya kiwanda hicho ambacho...
9 years ago
MichuziRAIS DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI MAHONDA LEO
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI 350 WA KIWANDA CHA SUKARI CHA MAHONDA WAKOHATARINI KUPOTEZA AJIRA ZAO.
11 years ago
Mwananchi30 Jan
DC Mtaka akifungia kiwanda cha Sukari
9 years ago
Habarileo02 Dec
Sababu ya malalamiko kiwanda cha sukari
BODI ya Sukari Tanzania imesema chanzo cha malalamiko ya wakulima wa miwa wanaozunguka Kiwanda cha Sukari cha Kilombero (ILOVO) ni kutokana na mashine kiwandani kuharibika bila kutarajia na kusimamisha uzalishaji.
10 years ago
MichuziKIWANDA CHA SUKARI KAGERA CHAZALISHA ZAIDI
5 years ago
MichuziKiwanda cha Sukari kujengwa Kasulu-TIC
Na Ripota wetu, Kasulu.
Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu imetenga eneo la uwekezaji lenye ukubwa wa hekta 35,000 kwa ajili ya kilimo cha miwa na ujenzi wa kiwanda cha sukari.
Eneo hilo kwa sasa amepewa mwekezaji wa kampuni ya Kigoma Sugar Co. Ltd chini ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) ambacho kina mamlaka ya kusimamia Uwekezaji nchini.
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Simon Anange (aliyevaa Fulana rangi ya damu ya Mzee)akifafanua jambo katika kikao cha pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU
Akizungumza jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...
10 years ago
VijimamboWANAFUNZI DARASA LA SABA SHULE YA ADOLPH KOPING BUKOBA WATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA.