Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC Makalla atembelea kiwanda cha sukari TPC, akerwa na sukari inayoingia kwa wingi kutoka nje

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla akiwa kwenye ukaguzi wa kiwanda cha sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani humo, kama sehemu ya kuangalia hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. Picha na Mpigapicha wetu.
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara katika kiwanda cha Sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro ili kujionea hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. RC Makalla alijionea hali halisi ya kiwanda hicho ambacho...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI MTIBWA


Apewa taarifa ya maendeleo ya kiwanda tangu kilipoanzishwa na Baba wa Taifa mwaka 1982, kilipo binafsishwa mwaka 2011 na mpaka sasa.Aambiwa kuporomoka kwa dola ya kimarekani pamoja na kuingizwa sukari nchi bila utaratibu kuna athiri sana ukuaji na uendeshaji wa viwanda vya sukari nchini.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia baadhi ya picha za ukutani wakati akiingia kwenye ofisi za kiwanda cha Sukari cha Kagera (Kagera Sugar)akiongozana na na Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Bw....

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI MAHONDA LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Kiwanda cha Sukari cha  Mahonda  kiliopo katika Wilaya ya Kaskazini B. Unguja alipofanya ziara maalum ya kutembelea kiwanda hicho leo,ambacho kinachofanyiwa ukarabati na Kampuni ya Shanta Sugar Holding Ltd kutoka nchini India Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akionesha kitu wakati alipotembelea kiwanda cha Sukari cha...

 

9 years ago

Habarileo

Sababu ya malalamiko kiwanda cha sukari

BODI ya Sukari Tanzania imesema chanzo cha malalamiko ya wakulima wa miwa wanaozunguka Kiwanda cha Sukari cha Kilombero (ILOVO) ni kutokana na mashine kiwandani kuharibika bila kutarajia na kusimamisha uzalishaji.

 

11 years ago

Mwananchi

DC Mtaka akifungia kiwanda cha Sukari

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Antony Mtaka amekifungia kwa muda usiojulika shughuli za uzalishaji, Kiwanada cha Sukari cha Mtibwa mpaka kiwanda hicho kitakapolipa madeni ya wafanyakazi na wakulima wa miwa.

 

10 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA SUKARI KAGERA CHAZALISHA ZAIDI

Meneja wa Kiwanda cha Sukari cha Kagera, Bw. Ashwin Rana akiwakaribisha wageni kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango walipotembelea kiwanda hicho ikiwa ni sehemu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo nchini. Anayesalimiana naye ni Prof. Longinus Rutasitara (Naibu Katibu Mtendaji Uchumi Jumla). Katikati ni Kiongozi wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri.Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango...

 

5 years ago

Michuzi

Kiwanda cha Sukari kujengwa Kasulu-TIC


Na Ripota wetu, Kasulu.
Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu imetenga eneo la uwekezaji lenye ukubwa wa hekta 35,000 kwa ajili ya kilimo cha miwa na ujenzi wa kiwanda cha sukari.
Eneo hilo kwa sasa amepewa mwekezaji wa kampuni ya Kigoma Sugar Co. Ltd chini ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) ambacho kina mamlaka ya kusimamia Uwekezaji nchini.
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Simon Anange (aliyevaa Fulana rangi ya damu ya Mzee)akifafanua jambo katika kikao cha pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Sukari kutoka nje inavyoua viwanda vya nchini

MTZ UCHUMI HII SAFI.inddMTZ UCHUMI HII SAFI.indd>>TPC wataka itozwe kodi ya asilimia 100

NA UPENDO MOSHA, MOSHI

TANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazoendelea Afrika kupitia sekta mbalimbali za kiuchumi vikiwemo viwanda.
Licha ya umuhimu wa viwanda hivyo bado kumekuwa hakuna sera madhubuti zinazolenga kuboresha na kuendeleza
viwanda vya ndani.

Sekta hiyo bado inakabiliwa na changamoto nyingi kiasi cha kuchelewesha malengo yaliokusudiwa ya kukuza uchumi na maisha bora kwa wananchi wake.

Sera zilizopo zinaruhusu kuuzwa kwa bidhaa mbalimbali...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI 350 WA KIWANDA CHA SUKARI CHA MAHONDA WAKOHATARINI KUPOTEZA AJIRA ZAO.

 Baadhi ya Miwa iliyoteketea kwa moto kutokana na hujuma iliyofanywa na Watu wasiojuilikana huko kwenye mashamba ya Miwa ya Kiwanda cha Sukari Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa Pole Meneja wa Mradi wa Kiwanda cha Sukari Mahonda Bwana Tushar Mehta kufuatia watu wasiojuilikana kutia tena moto mashamba ya Miwa Mahonda.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI DARASA LA SABA SHULE YA ADOLPH KOPING BUKOBA WATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA.

Wanafunzi wa Darasa la Saba (Adolph Kolping English Medium Primary School) wametembelea kiwanda cha Kagera Sugar kilichopo Bukoba na kujionea utengenezaji wa Sukari ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao. Kiwanda cha Sukari cha Kagera tayari kilishaanza kuzalisha ziada ya sukari inayohitajika katika soko la sukari Nchini hali inayopelekea kuweza kupunguza tatizo la upatikanaji wa sukari Tanzania na Nchi za jirani zinazotumia sukari kutoka kiwandani hapo.Kiwanda hicho cha Sukari cha Kagera kiko...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani