Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vilio mazishi ya aliyeuziwa dawa feki Ocean Road

Historia ya ugonjwa uliosababisha kifo cha Pendo Shayo, ambaye anadaiwa kuuziwa dawa feki na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), ilisababisha vilio na majonzi wakati wa maziko yake jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Kutoka Ocean Road hadi Muhimbili kuagwa sabuni za kuogea za kufulia, miswaki na dawa za meno kwa watoto wenye matatizo ya kansa waliolazwa hapo na wazazi .

wanafunzi waliosoma zamani shule za St Joseph's Convent School na Forodhani Secondary School (St Josephs and Forodhani ALUMNI) washerehekea tarehe12 December kwa kuwapelekea wagonjwa 360 wa kansa hospitali za Ocean Road na Muhimbili sabuni za kufulia na kuogea, miswaki na dawa za kusafishia meno. Mkuu wa msafara Collins Rutenge, amesema tarehe 9 Disemba walikuwa wakifanya usafi kila mmoja alipo.  Kama kukindi waliamua kupeleka vifaa vya usafi kwa wagonjwa wa kansa waliolazwa hospitali za...

 

10 years ago

Habarileo

Vilio, simanzi mazishi ya Komba

Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Yusuf Makamba akilia wakati akiaga mwili wa marehemu John Komba, jana.(Picha na Mpigapicha Wetu)RAIS Jakaya Kikwete jana ameongoza mamia ya wakazi wa Dar es Salaam waliojitokeza kuaga mwili wa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba aliyefariki Jumamosi jioni katika Hospitali ya TMJ ikielezwa kuwa kaondoka kama moto wa kiberiti.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni simanzi na vilio mazishi ya wanafamilia sita Dar

>Huzuni, simanzi na majonzi jana vilitawala maeneo ya Kipunguni A na baadaye kwenye Makaburi ya Airwing Ukonga, Ilala wakati miili ya watu sita waliofariki dunia kwa kuungua moto Jumamosi alfajiri ilipozikwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Hali inatisha Ocean Road

Hali ni mbaya katika Hospitali ya saratani ya Ocean Road (ORCI), Dar es Salaam kutokana na uhaba mkubwa wa dawa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kashfa Hospitali ya Ocean Road

Kashfa imeikumba Hospitali ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) kutokana na tuhuma za mmoja wa wauguzi wake kumuuzia dawa ‘feki’ mgonjwa ambaye anaendelea kupatiwa matibabu katika taasisi hiyo ya Serikali.

 

9 years ago

Habarileo

Vigogo wa Ocean Road, DART wasimamishwa

MAWAZIRI wawili jana ‘walitumbua majipu’ baada ya kutangaza kusimamishwa kazi kwa Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART), Asteria Mlambo na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Diwani Msemo, wote wakipisha uchunguzi dhidi yao.

 

9 years ago

Habarileo

Wanaowahi Ocean Road hupona saratani

SERIKALI imesema kuwa asilimia 20 ya wagonjwa wa saratani, wanaofika mapema katika Taasisi ya Ocean Road, wanatibiwa na kupona.

 

9 years ago

Mwananchi

Panga la vigogo lahamia Ocean Road

Timuatimua ya watendaji wakuu wa mashirika na taasisi za umma imeendelea jana baada Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kumsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Diwani Msemo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kansa ya kizazi yaongoza Ocean Road

IMEELEZWA kuwa kansa ya shingo ya kizazi ndiyo inayoongoza  kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road, Dar es Salaam. Mganga wa wagonjwa hao, Dk. Harison Chuwa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani