Hali inatisha Ocean Road
Hali ni mbaya katika Hospitali ya saratani ya Ocean Road (ORCI), Dar es Salaam kutokana na uhaba mkubwa wa dawa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
Hali ya mazingira inatisha- Dk. Bilal
NA MWANDISHI WETU
UHARIBIFU wa mazingira nchini umezidi kuongezeka hivyo kutishia kutoweka kwa rasilimali na viumbe hai muhimu na kuchochea ongezeko la umasikini.
Miongoni mwa athari za uharibifu huo wa mazingira ni kuwepo kwa athari kubwa kwa sekta tegemeo kwa uchumi wa nchi na maisha ya binadamu kama kilimo, uvuvi, utalii na madini.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, alisema hayo jana wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Pili ya Hali ya Mazingira nchini, uliofanyika jijini Dar es...
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Hali ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid inatisha
11 years ago
Mwananchi13 May
Kashfa Hospitali ya Ocean Road
9 years ago
Habarileo24 Dec
Vigogo wa Ocean Road, DART wasimamishwa
MAWAZIRI wawili jana ‘walitumbua majipu’ baada ya kutangaza kusimamishwa kazi kwa Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART), Asteria Mlambo na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Diwani Msemo, wote wakipisha uchunguzi dhidi yao.
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Panga la vigogo lahamia Ocean Road
9 years ago
Habarileo11 Oct
Wanaowahi Ocean Road hupona saratani
SERIKALI imesema kuwa asilimia 20 ya wagonjwa wa saratani, wanaofika mapema katika Taasisi ya Ocean Road, wanatibiwa na kupona.
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Kansa ya kizazi yaongoza Ocean Road
IMEELEZWA kuwa kansa ya shingo ya kizazi ndiyo inayoongoza kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road, Dar es Salaam. Mganga wa wagonjwa hao, Dk. Harison Chuwa,...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/1-21.jpg?width=650)
WATUMIAJI INSTAGRAM WASAIDIA WAGONJWA OCEAN ROAD
11 years ago
Mwananchi27 May
‘Ocean Road wamenisusa, nahamia tiba za jadi’