Hali ya mazingira inatisha- Dk. Bilal
NA MWANDISHI WETU
UHARIBIFU wa mazingira nchini umezidi kuongezeka hivyo kutishia kutoweka kwa rasilimali na viumbe hai muhimu na kuchochea ongezeko la umasikini.
Miongoni mwa athari za uharibifu huo wa mazingira ni kuwepo kwa athari kubwa kwa sekta tegemeo kwa uchumi wa nchi na maisha ya binadamu kama kilimo, uvuvi, utalii na madini.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, alisema hayo jana wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Pili ya Hali ya Mazingira nchini, uliofanyika jijini Dar es...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Hali inatisha Ocean Road
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Hali ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid inatisha
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Bilal akemea uharibifu mazingira
11 years ago
Habarileo01 Jun
Bilal: Pambaneni na uharibifu wa mazingira
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal, amewahimiza Watanzania kupambana na uharibifu wa mazingira, kwa sababu kwa sasa kila mtu anashuhudia athari za uharibifu wa mazingira.
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Dk Bilal asihi uchangiaji uhifadhi mazingira nchini
10 years ago
GPLBILAL AZINDUA RIPOTI YA PILI YA MAZINGIRA NA MABADILIKO
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-84LPiKR-DMs/U90UNM8jnLI/AAAAAAAF8fQ/GOJC5V5Fguk/s72-c/images.jpg)
kilio cha mdau juu ya hali ya uchafuzi wa Mazingira
![](http://3.bp.blogspot.com/-84LPiKR-DMs/U90UNM8jnLI/AAAAAAAF8fQ/GOJC5V5Fguk/s1600/images.jpg)
Ombi langu kwa
Serikali itoe ajira kwa vijana wasio na...
11 years ago
Dewji Blog05 Jun
Makamu wa Rais Dkt. Bilal atoa tuzo za washindi wa usimamiaji wa mazingira
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza Wilaya ya Ilemela, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza leo, Juni 5, 2014. Katika Kilele hicho Makamu wa Rais alitoa tuzo na kukabidhi vyeti kwa washindi wa Usafi wa Mazingira kuanzia Vjiji hadi Halmashauri za mikoa mbalimbali ya nchini. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
10 years ago
Bongo530 Jan
Mwasiti asimulia mazingira magumu yaliyopo kwenye shule za vijijini ‘hali ni mbaya jamani’