Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bilal akemea uharibifu mazingira

Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal ameonya watu kuacha kujihusisha na uvuvi haramu, uchomaji moto na ukataji miti ovyo ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bilal: Pambaneni na uharibifu wa mazingira

MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal, amewahimiza Watanzania kupambana na uharibifu wa mazingira, kwa sababu kwa sasa kila mtu anashuhudia athari za uharibifu wa mazingira.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uharibifu mazingira tishio

ZAIDI ya theluthi mbili ya ardhi nchini imeathiriwa na uharibifu wa mazingira, hali iliyosababisha upungufu wa mvua na ongezeko la joto. Mtafiti wa Kilimo wa Taasisi ya Kartin, Abdallah Mpunga,...

 

11 years ago

Mwananchi

Washtushwa na uharibifu wa mazingira

Viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali mkoani Dodoma wamesema uharibifu wa mazingira nchini unaongezeka kwa kasi hivyo ni wakati wa Serikali na taasisi za dini kushirikiana kukabiliana na janga hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Kikosi chaundwa kukabili uharibifu wa mazingira

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias ChikaweWIZARA nne kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa mazingira nchini wameunda kikosi maalumu kwa ajili ya kupambana na makosa ya ujangili, uvuvi haramu na ukataji miti hovyo.

 

5 years ago

Michuzi

UHARIBIFU WA MAZINGIRA KUKABILIWA NA MKAA MBADALA

Mbunifu wa mashine ya mkaa utokanao na vumbi la mbao pamoja na pumba za mpunga wa mkoani Singida, Joram Kishaluli akitoa mkaa uliotengenezwa kwa mashine maalumu.
Na, COSTECHTAARIFA ya Wizara ya Kilimo ya mwaka 2019 inaonesha kuwa, kwa miaka mitano iliyopita kuanzia msimu wa mwaka 2013/2014 hadi 2017/18, Tanzania imezalisha chakula kingi kuliko mahitaji yake.

Tathmini ililenga hali ya chakula, uzalishaji wa mazao ya chakula na usalama wa chakula hususani mazao muhimu yanayozingatiwa kama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MSEA yajipanga kupambana na uharibifu wa mazingira Tabora

UHARIBIFU wa mazingira katika Mkoa wa Tabora imeelezwa ni mkubwa kutokana na kukithiri kwa shughuli mbalimbali za kijamii zisizozingatia kanuni za utunzaji wa mazingira. Hayo yameelezwa na Meneja Miradi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kukabiliana na Uharibifu wa Mazingira - Waziri Mahenge



Na Victor Mariki - Ofisi ya Makamu wa Rais
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Mazingira), Dk. Binilith Mahenge amesema kuwa Serikali inaendelea  kukabiliana na changamoto za uharibifu  wa mazingira kwa kuhamasisha utekelezaji  wa mipango  ya kitaifa ya kuhifadhi mazingira pamoja na miongozo yake.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya  maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika  tarehe 5 Juni kila mwaka ambapo mwaka huu maadhimisho...

 

11 years ago

Habarileo

Bilal akemea chokochoko za Muungano

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib BilalMAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amevionya vyama vya siasa nchini na kuwataka viongozi wake kuacha kuwapandikiza wananchi mbegu za chuki na uhasama kwa uroho wa madaraka.

 

10 years ago

Michuzi

WANASIASA WATAKIWA KUTOSHIRIKI KATIKA USHAWISHI WA UHARIBIFU WA MISITU NA MAZINGIRA NCHINI

Na Abdulaziz Ahmeid-Dodoma Wanasiasa wameombwa kutoa ushirikiano kwa taasisi na wadau mbalimbali wanaoshughulika na uhifadhi wa misitu na mazingira badala ya wao kuwa ni miongoni mwa watu ambao wanaoshiriki na kusababisha uharibifu wa mazingira unaondelea kwa kasi hapa nchini. Wito huo umetolewa leo mjini Dodoma na mkurugenzi mtendaji wa mtandao wa jamii wa usimamizi wa misitu Tanzania(MJUMITA)Bi Rahima Njaidi Wakati wa ufunguzi wa warsha na mkutano mkuu wa 14,ambao umeshirikisha wanachama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani