WANASIASA WATAKIWA KUTOSHIRIKI KATIKA USHAWISHI WA UHARIBIFU WA MISITU NA MAZINGIRA NCHINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-ep_QnQb8Oyc/VJIBXKAvdMI/AAAAAAAG3_c/fxTRZlEmVr4/s72-c/unnamed%2B(59).jpg)
Na Abdulaziz Ahmeid-Dodoma Wanasiasa wameombwa kutoa ushirikiano kwa taasisi na wadau mbalimbali wanaoshughulika na uhifadhi wa misitu na mazingira badala ya wao kuwa ni miongoni mwa watu ambao wanaoshiriki na kusababisha uharibifu wa mazingira unaondelea kwa kasi hapa nchini. Wito huo umetolewa leo mjini Dodoma na mkurugenzi mtendaji wa mtandao wa jamii wa usimamizi wa misitu Tanzania(MJUMITA)Bi Rahima Njaidi Wakati wa ufunguzi wa warsha na mkutano mkuu wa 14,ambao umeshirikisha wanachama...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo15 Oct
Wanasiasa nchini watakiwa kuweka mbele maslahi ya taifa
BARAZA la vyama vya siasa nchini limesema kazi ya kulinda kura ipo chini ya mamlaka ya vyombo vya ulinzi kwa mujibu wa katiba na sheria na si wananchi.
9 years ago
StarTV23 Dec
Wingi wa wakimbizi, wahamiaji haramu wachangia Uharibifu Wa Misitu Kasulu
Mkuu wa wilaya ya Kasulu Gerald Guninita amesema Wingi wa Wakimbizi na Wahamiaji haramu wilayani Kasulu mkoani Kigoma unadaiwa kuchangia uharibifu mkubwa wa misitu kutokana na kukata miti kwa ajili ya shughuli za kibinadamu.
Ametoa taarifa hiyo mbele ya Wajumbe wa Bodi ya ushauri ya Wakala wa huduma za misitu TSF na kudai kuwan uharibifu wa misitu umetokana na ujenzi wa makazi ya muda ya wakimbizi.
Ukataji misitu hovyo kwa ajiri ya matumizi ya kibinadamu ujenzi, kilimo, kuchoma mkaa na...
9 years ago
StarTV15 Nov
Uharibifu wa misitu katavi, tabora wachangia Uelewa ndogo wa sheria
Utafiti uliofanywa katika vijiji nane vya wilaya nne za mikoa ya Katavi na Tabora kuhusu uelewa wa sheria ndogo za kuhifadhi misitu umebaini uharibifu mkubwa wa misitu unaofanyika katika kipindi cha chaguzi mbalimbali za Chama na Serikali.
Timu ya watafiti kutoka chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine SUA imesema misitu mingi ya asili katika mikoa ya Tabora na Katavi uharibiwa kutokana na wananchi kuwa na uelewa duni wa sheria ndogo wa kulinda misitu ya vijiji.
Doka Gimbage Mbeyale na Dr....
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Viongozi serikalini watakiwa kutoshiriki siasa
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Shirika la Haki za Binadamu Kusini mwa Afrika (SAHRiNGON) wametaka viongozi wa serikali kutoshiriki katika kampeni na kuwaachia wanasiasa wenyewe. Mratibu...
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Washtushwa na uharibifu wa mazingira
11 years ago
Tanzania Daima09 Aug
Uharibifu mazingira tishio
ZAIDI ya theluthi mbili ya ardhi nchini imeathiriwa na uharibifu wa mazingira, hali iliyosababisha upungufu wa mvua na ongezeko la joto. Mtafiti wa Kilimo wa Taasisi ya Kartin, Abdallah Mpunga,...
11 years ago
Habarileo01 Jun
Bilal: Pambaneni na uharibifu wa mazingira
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal, amewahimiza Watanzania kupambana na uharibifu wa mazingira, kwa sababu kwa sasa kila mtu anashuhudia athari za uharibifu wa mazingira.
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Bilal akemea uharibifu mazingira
9 years ago
MichuziNEWZ ALERT:WAZIRI WA MALIASILI PROF. JUMANNE MAGHEMBE AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA MIPANGO WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) NA MAOFISA MISITU WA MIKOA YOTE NCHINI LEO