Uharibifu wa misitu katavi, tabora wachangia Uelewa ndogo wa sheria
Utafiti uliofanywa katika vijiji nane vya wilaya nne za mikoa ya Katavi na Tabora kuhusu uelewa wa sheria ndogo za kuhifadhi misitu umebaini uharibifu mkubwa wa misitu unaofanyika katika kipindi cha chaguzi mbalimbali za Chama na Serikali.
Timu ya watafiti kutoka chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine SUA imesema misitu mingi ya asili katika mikoa ya Tabora na Katavi uharibiwa kutokana na wananchi kuwa na uelewa duni wa sheria ndogo wa kulinda misitu ya vijiji.
Doka Gimbage Mbeyale na Dr....
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Dec
Wingi wa wakimbizi, wahamiaji haramu wachangia Uharibifu Wa Misitu Kasulu
Mkuu wa wilaya ya Kasulu Gerald Guninita amesema Wingi wa Wakimbizi na Wahamiaji haramu wilayani Kasulu mkoani Kigoma unadaiwa kuchangia uharibifu mkubwa wa misitu kutokana na kukata miti kwa ajili ya shughuli za kibinadamu.
Ametoa taarifa hiyo mbele ya Wajumbe wa Bodi ya ushauri ya Wakala wa huduma za misitu TSF na kudai kuwan uharibifu wa misitu umetokana na ujenzi wa makazi ya muda ya wakimbizi.
Ukataji misitu hovyo kwa ajiri ya matumizi ya kibinadamu ujenzi, kilimo, kuchoma mkaa na...
9 years ago
StarTV27 Nov
Uelewa mdogo wa ubora wa dawa za binadamu wachangia ongezeko la vifo
Uelewa mdogo wa ubora wa dawa za binadamu kwa baadhi ya mafamasia na watu wa sekta ya afya umetajwa kuwa miongoni mwa sababu za ongezeko la vifo vya watu kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya dawa hizo.
Siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la dawa zisizokidhi vigezo ambazo zinahatarisha maisha ya Watanzania walio wengi.
Malalamiko ya wananchi dhidi ya sekta ya afya kwa madai ya uwepo wa dawa nyingi feki ndiyo sababu ya mkutano huu wa wafamasia jijini Mwanza.
Dhamira ya mkutano...
10 years ago
MichuziWANASIASA WATAKIWA KUTOSHIRIKI KATIKA USHAWISHI WA UHARIBIFU WA MISITU NA MAZINGIRA NCHINI
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
MSEA yajipanga kupambana na uharibifu wa mazingira Tabora
UHARIBIFU wa mazingira katika Mkoa wa Tabora imeelezwa ni mkubwa kutokana na kukithiri kwa shughuli mbalimbali za kijamii zisizozingatia kanuni za utunzaji wa mazingira. Hayo yameelezwa na Meneja Miradi wa...
11 years ago
MichuziUFUNGUZI WA WARSHA YA KUJENGA UELEWA WA WADAU KUHUSU MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI — TASAF AWAMU YA TATU MKOANI KATAVI
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Rajabu Rutengwe akihutubia washiriki wa Warsha ya kujenga uelewa wa wadau kuhusu mpango wa kunusuru Kaya maskini – TASAF awamu ya tatu Mkoani Katavi . Hawa nao ni sehemu ya washiriki wa warsha hiyo inayoshirikisha watendaji mbalimbali wa ngazi ya...
11 years ago
Habarileo21 Mar
Mwanza wahimizwa uelewa wa sheria
WANANCHI jijini Mwanza hawana uelewa kuhusiana na utaratibu wa kuomba kufuta kesi baada ya siku 60 za uchunguzi iwapo hakuna dalili za kupatikana kwa ushahidi. Hayo yalibainishwa jana na Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Mwanza, Amri Flugence wakati wa mahojiano na waandishi wa habari juu ya uelewa wa msaada wa kisheria kwa jamii.
5 years ago
MichuziTuwe na uelewa wa Sheria ya Ushirika –Naibu Mrajis
Mrajis ametoa wito huo akiongea na Viongozi pamoja na Watendaji wa Vyama vya Akiba na Mikopo (SACCOS) wakati wa mafunzo ya Sheria Na.10 ya...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Sheria zinachangia uharibifu Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro
SHERIA za usimamizi wa masuala ya hifadhi na misitu asili zimebainika kuwa sababu ya kuwepo kwa vitendo vya uharibifu wa mazingira katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro. Sheria zinazotumika hadi sasa...
5 years ago
MichuziDKT. KALEMANI HARIDHISHWI NA KASI NDOGO YA MATUMIZI YA UMEME TABORA
Viongozi wa Kijiji cha Mizanza wilayani Igunga Mkoani Tabora wakimsikiliza Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani, hayupo pichani baada ya kufanya ziara kijijini hapo ya kukagua shughuli za usambazaji umeme vjijini, Aprili 27, 2020.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani( kulia)...