Uelewa mdogo wa ubora wa dawa za binadamu wachangia ongezeko la vifo
Uelewa mdogo wa ubora wa dawa za binadamu kwa baadhi ya mafamasia na watu wa sekta ya afya umetajwa kuwa miongoni mwa sababu za ongezeko la vifo vya watu kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya dawa hizo.
Siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la dawa zisizokidhi vigezo ambazo zinahatarisha maisha ya Watanzania walio wengi.
Malalamiko ya wananchi dhidi ya sekta ya afya kwa madai ya uwepo wa dawa nyingi feki ndiyo sababu ya mkutano huu wa wafamasia jijini Mwanza.
Dhamira ya mkutano...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV15 Nov
Uharibifu wa misitu katavi, tabora wachangia Uelewa ndogo wa sheria
Utafiti uliofanywa katika vijiji nane vya wilaya nne za mikoa ya Katavi na Tabora kuhusu uelewa wa sheria ndogo za kuhifadhi misitu umebaini uharibifu mkubwa wa misitu unaofanyika katika kipindi cha chaguzi mbalimbali za Chama na Serikali.
Timu ya watafiti kutoka chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine SUA imesema misitu mingi ya asili katika mikoa ya Tabora na Katavi uharibiwa kutokana na wananchi kuwa na uelewa duni wa sheria ndogo wa kulinda misitu ya vijiji.
Doka Gimbage Mbeyale na Dr....
10 years ago
Habarileo19 Mar
‘Uelewa mdogo wa watendaji unarahisisha utakatishaji’
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, George Masaju amesema wahalifu wanapata mwanya wa kutenda makosa ya utakatishaji fedha haramu kutokana na uelewa mdogo wa watendaji.
10 years ago
Habarileo12 Dec
RC: Ongezeko watumiaji wa uzazi wa mpango kupunguza vifo
MKUU wa Mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila amesema ongezeko la watumiaji wa huduma ya uzazi wa mpango nchini utachangia kupunguza vifo vya akina mama na watoto vitokanavyo na uzazi.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Coronavirus: Ongezeko kubwa la vifo na maambukizi jimboni Hubei, China lagharimu ajira za maafisa wa juu
10 years ago
VijimamboMamlaka ya chakula na dawa nchini (Tanzania) yafuta usajili wa dawa aina Tano za binadamu - Tanzania
Mamlaka ya chakula na dawa nchini TFDA imefuta usajili wa dawa za binadamu aina Tano na kuamuru ziondolewe sokoni na vituo vyote vya kutolea huduma za afya mchini kote mara moja kutokana na kubainika kuwa na viambata vinavyosababisha maradhi sugu ikiwemo kiharusi, na wakati mwingine kusababisha vifo.
Dawa zinazotajwa kufutiwa usajiri na kuzuia uingizwaji kuwa ni pamoja na dawa za kutibu maralia ya maji na vidonge aina ya...
5 years ago
MichuziUMEME MDOGO KWA BAADHI YA MAENEO YA MJI WA ZANZIBAR,CHANZO NI ONGEZEKO LA WATUMIAJI NA UJENZI HOLELA
10 years ago
StarTV02 Feb
Upatikanaji habari, Uelewa mdogo wa maafisa habari kikwazo.
Na Joseph Mpangala,
Mtwara.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Tanzania Assah Mwambene amekiri kutokuwepo kwa uelewa kwa baadhi ya maafisa habari wanaoajiriwa katika sekta ya mawasiliano katika wizara na taasisi mbalimbali za Serikali jambo linalochangia kukosekana kwa taarifa muhimu pindi zinapohitajika.
Mwambene amesema hayo mkoani Mtwara mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa mwaka uliowakutanisha maafisa habari wa serikali nchi nzima.
Katika baadhi ya vyombo vya habari...
9 years ago
StarTV06 Jan
Makamu wa Rais asema Uzembe wa baadhi ya watumishi wa afya wachangia Upotevu Wa Dawa
Baadhi ya Watumishi wa Sekta ya Afya yadaiwa kusababisha upotevu wa dawa zinazohitajika kuwafikia wananchi kwa asilimia 70 kutokana na kutokuwa na weledi katika kazi zao.
Kwa sasa ni asilimia 30 pekee za dawa ndio zinazowafikia wananchi na asilimia inayobaki inapotea.
Hayo yamebainika katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu baada ya kutembelea Hospitali Teule ya Mkoa wa Geita ambapo changamoto ya dawa ni tatizo hali inayowalazimu wananchi...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Wakulima walalamikia ubora wa dawa
BAADHI ya wakulima kutoka mkoani Mbeya wamelalamikia dawa za kilimo aina ya Karate 50 ec na Selecron 720 ec kuwa hazina ubora. Wakulima hao waliowakilishwa na John Mwaipopo, walisema dawa...