Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upatikanaji habari, Uelewa mdogo wa maafisa habari kikwazo.

Na Joseph Mpangala,

Mtwara.

 

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Tanzania Assah Mwambene amekiri kutokuwepo kwa uelewa kwa baadhi ya maafisa habari wanaoajiriwa katika sekta ya mawasiliano katika wizara na taasisi mbalimbali za Serikali jambo linalochangia kukosekana kwa taarifa muhimu pindi zinapohitajika.

 

Mwambene amesema hayo mkoani Mtwara mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa mwaka uliowakutanisha maafisa habari wa serikali nchi nzima.

 

Katika baadhi ya vyombo vya habari...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Asilimia 84 ya wananchi wanaunga mkono kifungu cha sheria ya upatikanaji wa habari

15 Juni 2015, Dar es Salaam: Asilimia 84 ya wananchi wanaunga mkono kifungu cha sheria ya upatikanaji wa habari. Wananchi nane kati ya kumi wanaamini taarifa za mamlaka za umma zinapaswa kupatikana kwa wananchi wa kawaida (77%). Wengi wanaamini upatikanaji wa taarifa utasaidia kupunguza ama kuzuia rushwa na vitendo vingine viovu vinavyofanywa na viongozi wa umma (80%).

Haya ni matokeo ya utafiti uliofanywa na Twaweza wenye jina, Machoni mwa Umma: Maoni ya wananchi kuhusu upatikanaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

Wizara ya Habari na ESAMI yawapiga msasa Maafisa Vijana

Maafisa Vijana Nchini wametakiwa kutumia elimu wanayopata katika kuwaendeleza vijana kiuchumi ili kuwawezesha kushiriki katika shughuli za uzalishaji mali. 
Hayo yamesemwa leo Jijini Arusha na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. James Kajugusi wakati wa Ufunguzi wa awamu ya kwanza ya mafunzo ya Ujasiriamali na ubunifu.
Bw. Kajugusi alisema kuwa kwa kutambua umuhimu wa kuwaendeleza vijana nchini Wizara kwa Kushirikiana na Chuo cha...

 

10 years ago

Vijimambo

MDOGO WAKE DIAMOND HII NDIYO HABARI YA MUJINI



Kila kitu saa ni Oficial mdogo wake Diamond Esma na Petitman hii ndiyo habari ya mujini wamesha funga ndoa sasa ni kupika na kupakuwa kwa nafasi hile kiroho safi.Meneja wa msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano na Kajala, kisha kuwa na mdogo wake Vanessa Mdee, amethibitisha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dada yake Diamond Platnumz, Esma na kwamba ana mipango ya kufunga naye ndoa.“Ni kweli Esma ni mchumba...

 

10 years ago

Vijimambo

MISA TANZANIA YAKUTANA NA MAAFISA HABARI KUJADILI CHANGAMOTO ZA UTOAJI TAARIFA

Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika(MISATAN) Bwana Andrew Marawiti  akizungumza jambo wakati akifungua kongamano na maafisa habari wa taasisi za serikali zilizofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi wetuMaafisa habari mbalimbali kutoka wizara na mihimili tofauti ya nchi, jana walikutana katika hoteli ya JB Belmont hapa Dar es Salaam kujadili changamoto wanazo kumbana nazo wakati kwa kutoa taarifa kwa wananchi.

Kongamano hilo linafuatia matokeo ya utafiti...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yaendelea kutoa elimu ya Sheria ya makosa ya mtandao kwa Maafisa Habari

9

Mkurugenzi msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi Zamaradi Kawawa akifurahia jambo na Mkuu wa Masuala ya Siasa na Habari wa Umoja wa nchi za Ulaya (EU) nchini Tanzania  Bi Luana Reale wakati wa warsha ya Maafisa Mawasiliano Serikalini kuhusu Sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 (cybercrime Act 2015. iliyofanyika jana Jijini Dar es salaam.(Picha zote na Frank Mvungi-Maelezo).

 

11 years ago

Dewji Blog

Maafisa Habari na Mawasiliano waaswa kutoa taarifa zinazohusu taasisi zao kwa wakati

IMG_2358

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali wakati wa Semina ya Mafunzo iliyoandaliwa na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel na Kulia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Bw. Innocent Mungy.

IMG_2365

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani