Asilimia 84 ya wananchi wanaunga mkono kifungu cha sheria ya upatikanaji wa habari
15 Juni 2015, Dar es Salaam: Asilimia 84 ya wananchi wanaunga mkono kifungu cha sheria ya upatikanaji wa habari. Wananchi nane kati ya kumi wanaamini taarifa za mamlaka za umma zinapaswa kupatikana kwa wananchi wa kawaida (77%). Wengi wanaamini upatikanaji wa taarifa utasaidia kupunguza ama kuzuia rushwa na vitendo vingine viovu vinavyofanywa na viongozi wa umma (80%).
Haya ni matokeo ya utafiti uliofanywa na Twaweza wenye jina, Machoni mwa Umma: Maoni ya wananchi kuhusu upatikanaji wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Apr
Utafiti:Wananchi wanaunga mkono Rasimu
10 years ago
Habarileo15 Sep
Upatikanaji umeme vijijini wapaa kwa asilimia 18
UPATIKANAJI wa huduma za nishati ya umeme vijijini umeongezeka kutoka asilimia 2.5 mwaka 2007 hadi kufika asilimia 21, hivi sasa ikiwa ni juhudi za baada ya kuundwa kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
10 years ago
StarTV02 Feb
Upatikanaji habari, Uelewa mdogo wa maafisa habari kikwazo.
Na Joseph Mpangala,
Mtwara.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Tanzania Assah Mwambene amekiri kutokuwepo kwa uelewa kwa baadhi ya maafisa habari wanaoajiriwa katika sekta ya mawasiliano katika wizara na taasisi mbalimbali za Serikali jambo linalochangia kukosekana kwa taarifa muhimu pindi zinapohitajika.
Mwambene amesema hayo mkoani Mtwara mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa mwaka uliowakutanisha maafisa habari wa serikali nchi nzima.
Katika baadhi ya vyombo vya habari...
10 years ago
VijimamboMBUNGE JAMES MBATIA AWASHUKURU WANANCHI JIMBO LA VUNJO KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
10 years ago
MichuziMBUNGE JAMESN MBATIA AWASHUKURU WANANCHI JIMBO LA VUNJO KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
10 years ago
MichuziMONICA MBEGA- DR MAGUFULI NA MWAKALEBELA NAWAUNGA MKONO KWA ASILIMIA 100
Mgombea udiwani wa kata ya...
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Yanayojiri Dodoma…Asilimia kubwa ya wajumbe waunga mkono Serikali mbili
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Msemaji wa walio wachache wa Kamati namba saba Freeman Mbowe akitoa ufafanuzi wa maoni ya walio wachache leo mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Msemaji wa walio wachache wa Kamati namba sita Ismail Jussa akitoa ufafanuzi wa maoni ya walio wachache leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati namba saba ya Bunge Maalum la Katiba Brigedia Jenerali Mstaafu Hassan Ngwilizi akiwasilisha maoni ya kamati yake leo mjini Dodoma...