Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maafisa Habari na Mawasiliano waaswa kutoa taarifa zinazohusu taasisi zao kwa wakati

IMG_2358

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali wakati wa Semina ya Mafunzo iliyoandaliwa na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel na Kulia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Bw. Innocent Mungy.

IMG_2365

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NAMBA MAALUMU YA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU JINSI YA KUJIKINGA NA MALARIA NA TIBA YATANGAZWA RASMI UWANJA WA TAIFA LEO‏

Wasanii mahiri wanaounda kundi la THT wakiimba wimbo wa Malaria No More  kabla ya mechi kuanza ya watani wa jadi Simba na Yanga.Wakati Vodacom Tanzania  kushirikiana na Taasisi ya Malaria No More na THTwalipokuwa wakitangaza namba maalumu ambayo wateja wanaotumia huduma za kampuni hiyo wanaweza kuitumia kupata taarifa zinazohusiana na ugonjwa wa malaria. Ili mteja kuweza kupata taarifa hizo zinazohusisha jinsi ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yaendelea kutoa elimu ya Sheria ya makosa ya mtandao kwa Maafisa Habari

9

Mkurugenzi msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi Zamaradi Kawawa akifurahia jambo na Mkuu wa Masuala ya Siasa na Habari wa Umoja wa nchi za Ulaya (EU) nchini Tanzania  Bi Luana Reale wakati wa warsha ya Maafisa Mawasiliano Serikalini kuhusu Sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 (cybercrime Act 2015. iliyofanyika jana Jijini Dar es salaam.(Picha zote na Frank Mvungi-Maelezo).

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI KIGOMA WAMEKUWA NA MWAMKO MKUBWA KUTOA TAARIFA ZA UKATILI WA KIJINSIA KWA WAKATI MADAWATI YA JINSIA YA POLISI

Editha Karlo,Kigoma.
WANANCHI wa Mkoa wa Kigoma wamekuwa na mwamko wa kutoa taarifa kwa wakati kwenye madawati ya jinsia  ya polisi juu ya matukio mbalimbali ya ukatili wa kijinsia na watoto  yanayowatokea.

Akisoma taarifa kwa  kwa balozi wa umoja wa ulaya Manfredo Fanti,Mkuu wa dawati la jinsia  ofisi za Kigoma mjini Inspeta Doris alisema kuwa kutokana na elimu ambayo wameitoa kuhusu ukatili wa jinsia na watoto pamoja na umuhimu wa kutoa taarifa  kwa wakati mara wanaposhuhudia tukio...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Fennela Afungua Kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini na Wahariri wa Vyombo vya Habari

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiwaeleza washiriki wa Mkutano huo umuhimu wa kuelimisha umma kuelekea upigaji kura ya maoni na kuwataka wahariri wa vyombo vya habari nchini kuwa mstari wa mbele katika kutekeleza suala hili la kitaifa.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JL Communication inayochapisha magazeti ya Jambo leo na StaaSpoti Bw. Theophil Makunga akitoa neno la shukrani kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara pia...

 

5 years ago

Michuzi

JET YAENDELEA KUWANOA WAANDISHI WA HABARI KUANDIKA HABARI ZINAZOHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA,WANYAMAPORI


Na Said Mwishehe,Michuzi TV

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania(JET) imevikumbusha vyombo vya habari nchini kuwa vinavyo nafasi kubwa ya kuwezesha watunga sera kutunga sera zitakazosaidia kukabiliana na biashara haramu ya wanyama pori pamoja na ujangili.

Kwa upande wa jamii nayo imeelezwa wanalo jukumu la kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya uhifadhi wa mazingira na wanyamapori kusimama imara katika kukomesha uharibifu wa mazingira na zaidi biashara haramu ya...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UFAFANUZI WA TANGAZO LILILOTOLEWA TAREHE 11 SEPTEMBA, 2015 KUHUSU VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UFAFANUZI WA TANGAZO LILILOTOLEWA TAREHE 11 SEPTEMBA, 2015
KUHUSU VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA
KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU
 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu tangazo lake lililotolewa kwenye vyombo vya habari tarehe 11 Septemba, 2015 kuhusu vipindi vinavyorushwa moja kwa moja wakati wa kampeni za uchaguzi
mkuu.  Ufafanuzi huu unatolewa kutokana na maoni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani