Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UFAFANUZI WA TANGAZO LILILOTOLEWA TAREHE 11 SEPTEMBA, 2015 KUHUSU VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UFAFANUZI WA TANGAZO LILILOTOLEWA TAREHE 11 SEPTEMBA, 2015
KUHUSU VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA
KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU
 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu tangazo lake lililotolewa kwenye vyombo vya habari tarehe 11 Septemba, 2015 kuhusu vipindi vinavyorushwa moja kwa moja wakati wa kampeni za uchaguzi
mkuu.  Ufafanuzi huu unatolewa kutokana na maoni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa taarifa kuwa kuanzia leo tarehe 10 Septemba 2015, na katika kipindi chote cha kampeni za uchaguzi mkuu 2015, watu ambao sio wagombea wa udiwani, ubunge, urais, wasemaji rasmi wa vyama au watu wasioteuliwa na vyama vya siasa kama wawakilishi hawataruhusiwa kushiriki katika vipindi vya moja kwa moja (Live Programmes) vinavyohusu shughuli za uchaguzi vitakavyorushwa na vituo vya utangazaji.


Utaratibu huu unazingatia Kanuni Za Huduma Za...

 

9 years ago

Dewji Blog

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

TAARIFA YA MWENYEKITI WA ZEC MHE. JECHA SALIM JECHA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2015

http://zec.go.tz/en/?p=1673

The post TAARIFA YA MWENYEKITI WA ZEC MHE. JECHA SALIM JECHA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2015 appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA CCM KUHUSU KUFUNGA KAMPENI

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM Kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi watakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo: 
1.    Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU MIKUTANO YA HADHARA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU MIKUTANO YA HADHARA Tumeona kupitia vyombo vya habari na njia mbalimbali za upashanaji taarifa kwamba Waziri Mkuu Majaliwa Kassim amenukuliwa akitoa kauli inayoonesha Serikali ya CCM inataka kuzuia shughuli za kisiasa hususan mikutano ya hadhara.Kupitia kauli hiyo, Waziri Mkuu amenukuliwa zaidi akisema kuwa Uchaguzi umekwisha hivyo

 

9 years ago

Dewji Blog

NEC yavishukuru vyombo vya habari kwa coverage nzuri ya Uchaguzi Mkuu 2015

Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Giveness Aswile, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuvishukuru vyombo vya habari kwa kuripoti vizuri katika kipindi chote cha uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa NEC, Emanuel Kavishe.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

Kavishe naye akitoa pongezi kwa wanahabari kwa kutangaza vizuri matukio ya uchaguzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani