Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Ongezeko kubwa la vifo na maambukizi jimboni Hubei, China lagharimu ajira za maafisa wa juu

Maafisa wa juu wawili wafutwa kazi baada ya kugundulika ongezeko kubwa la maambukizi, lililotokana na njia mpya ya uchunguzi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Fahamu kwanini idadi ya vifo vya coronavirus iko juu Italy?

Mlipuko wa virusi vya corona unaendelea kuliathiri pakubwa taifa la Itali, huku hospitali zikishindwa kumudu idadi ya maambukizi mbali na kuwekwa kwa sheria ya kutotoka nje.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Nchi za Muungano wa Ulaya zarekodi idadi ya juu ya vifo vinavyotokana na virusi vya corona

Idadi ya vifo vilivyotokana na maambukizi ya virusi vya Corona imeongezeka katika nchi za Italia, Uhispania na Ufaransa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Marekani yaipiku Italia na China katika kesi za maambukizi ya corona duniani

Marekani imethibishwa kuwa na maambukizi mengi zaidi ya corona kuliko nchi nyingine yeyote duniani, kwa kuwa na visa zaidi ya 85,500.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Baadhi ya sehemu za mji wa Wuhan zafunguliwa baada ya kufungwa kuzuia maambukizi China

Watu wanaingia katika mji wa Wuhan wa China ambapo mlipuko wa virusi vya corona ulianza

 

10 years ago

Habarileo

RC: Ongezeko watumiaji wa uzazi wa mpango kupunguza vifo

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila amesema ongezeko la watumiaji wa huduma ya uzazi wa mpango nchini utachangia kupunguza vifo vya akina mama na watoto vitokanavyo na uzazi.

 

9 years ago

StarTV

Uelewa mdogo wa ubora wa dawa za binadamu wachangia ongezeko la vifo

Uelewa mdogo wa ubora wa dawa za binadamu kwa baadhi ya mafamasia na watu wa sekta ya afya umetajwa kuwa miongoni mwa sababu za ongezeko la vifo vya watu kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya dawa hizo.

Siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la dawa zisizokidhi vigezo ambazo zinahatarisha maisha ya Watanzania walio wengi.

Malalamiko ya wananchi dhidi ya sekta ya afya kwa madai ya uwepo wa dawa nyingi feki ndiyo sababu ya mkutano huu wa wafamasia jijini Mwanza.

Dhamira ya mkutano...

 

9 years ago

StarTV

Baadhi ya wakazi Kigoma waingiwa na hofu ongezeko la maambukizi ya VVU.

Licha ya maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi kitaifa kuelezwa kudhibitiwa, hofu imetanda kwa   baadhi ya wakazi wa mkoa wa Kigoma baada ya kutolewa kwa takwimu za ongezeko la maambukizi ya ugonjwa huo mkoni humo hivi karibuni.

Kitaifa maambukizi ya Virusi vya ukimwi yanaelezwa kupungua kutoka asilimia 7.5 hadi asilimia 5.1 wakati mkoani Kigoma ongezeko limekuwa kutoka asilimia 1.8 kwenda asilimia 3.5 hatua inayowafanya wadau mbalimbali na serikali kuanza kujipanga kimkakati kupunguza...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Zaidi ya maambukizi 10,000 kwa siku moja Marekani wakati Uhispania ikiongoza kwa maambukizi ya corona

Takwimu za sasa za ugonjwa wa Covid-19 zaonyesha Uhispania kuongoza huku Marekani maambukizi yaongezeka kwa kasi ndani ya siku moja tu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani