Baadhi ya wakazi Kigoma waingiwa na hofu ongezeko la maambukizi ya VVU.
Licha ya maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi kitaifa kuelezwa kudhibitiwa, hofu imetanda kwa baadhi ya wakazi wa mkoa wa Kigoma baada ya kutolewa kwa takwimu za ongezeko la maambukizi ya ugonjwa huo mkoni humo hivi karibuni.
Kitaifa maambukizi ya Virusi vya ukimwi yanaelezwa kupungua kutoka asilimia 7.5 hadi asilimia 5.1 wakati mkoani Kigoma ongezeko limekuwa kutoka asilimia 1.8 kwenda asilimia 3.5 hatua inayowafanya wadau mbalimbali na serikali kuanza kujipanga kimkakati kupunguza...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Pombe za kienyeji zachangia ongezeko la VVU Kigoma
WATANZANIA wengi hasa waliopo vijijini wanakunywa sana pombe za kienyeji kuliko zinazotengenezwa viwandani. Takwimu za Shirika la afya Duniani (WHO) zinaonesha kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye...
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Sababu za ongezeko la VVU Rukwa yatajwa
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Maambukizi VVU yapungua
MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi (VVU), kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kwa asilimia 90. Imeelezwa. Hayo yalisemwa na Meneja wa shirika la EGPAF Mkoa wa Tabora, Dk. Alphaxard...
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Maambukizi ya VVU yapungua
TANZANIA imefanikiwa kupunguza viwango vya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kutoka asilimia 26 mwaka 2009 hadi kufikia asilimia 15 mwaka 2012. Hayo...
10 years ago
Mwananchi08 Jan
KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU.
11 years ago
Mwananchi04 May
Maambukizi ya VVU yaongezeka migodini
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
Tohara inapunguza maambukizi ya VVU
TAFITI kutoka nchi nyingi duniani zimebaini kwamba tohara kwa wanaume inapunguza maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa asilimia 60 kwa wanaume na asilimia 44 kwa wanawake. Pia imebaini kwamba...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Maambukizi ya VVU Katavi yaongezeka
KIWANGO cha maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) mkoani Katavi, yameongezeka na kufikia asilimia 5.9 ikilinganishwa na asilimia 5.1 ya maambukizi ya VVU kitaifa. Taarifa hiyo ilitolewa mjini hapa jana...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Maambukizi ya VVU yaongezeka Moshi
MAAMBUKIZI ya virusi vya ukimwi (VVU) katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro yameongezeka mara dufu kutoka asilimia 1.2 mwaka 2012 hadi asilimia 2.1 mwaka 2013. Takwimu hizo...