Wingi wa wakimbizi, wahamiaji haramu wachangia Uharibifu Wa Misitu Kasulu
Mkuu wa wilaya ya Kasulu Gerald Guninita amesema Wingi wa Wakimbizi na Wahamiaji haramu wilayani Kasulu mkoani Kigoma unadaiwa kuchangia uharibifu mkubwa wa misitu kutokana na kukata miti kwa ajili ya shughuli za kibinadamu.
Ametoa taarifa hiyo mbele ya Wajumbe wa Bodi ya ushauri ya Wakala wa huduma za misitu TSF na kudai kuwan uharibifu wa misitu umetokana na ujenzi wa makazi ya muda ya wakimbizi.
Ukataji misitu hovyo kwa ajiri ya matumizi ya kibinadamu ujenzi, kilimo, kuchoma mkaa na...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV15 Nov
Uharibifu wa misitu katavi, tabora wachangia Uelewa ndogo wa sheria
Utafiti uliofanywa katika vijiji nane vya wilaya nne za mikoa ya Katavi na Tabora kuhusu uelewa wa sheria ndogo za kuhifadhi misitu umebaini uharibifu mkubwa wa misitu unaofanyika katika kipindi cha chaguzi mbalimbali za Chama na Serikali.
Timu ya watafiti kutoka chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine SUA imesema misitu mingi ya asili katika mikoa ya Tabora na Katavi uharibiwa kutokana na wananchi kuwa na uelewa duni wa sheria ndogo wa kulinda misitu ya vijiji.
Doka Gimbage Mbeyale na Dr....
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA NA KUWATAKA WAKIMBIZI HAO WADUMISHE AMANI NA UTULIVU
10 years ago
Michuzi.jpg)
WANASIASA WATAKIWA KUTOSHIRIKI KATIKA USHAWISHI WA UHARIBIFU WA MISITU NA MAZINGIRA NCHINI
10 years ago
Dewji Blog16 Sep
Wakimbizi kutoka Burundi waendelea kuwasili kambi ya Nyarugusu, Kasulu Kigoma
Mkimbizi kutoka Burundi, Philipo Nyandungulu, akishuka kutoka kwenye basi baada ya kuwasili katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko Kasulu mkoani Kigoma. Idadi ya wakimbizi kutoka Burundi imekuwa ikiongezeka siku hadi siku na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHRC) imekuwa ikiwahifadhi kwa muda katika kambi hiyo.
Baadhi ya wakimbizi kutoka nchini Burundi, wanaohifadhiwa katika...
11 years ago
Michuzi
WAKIMBIZI KAMBI YA NYARUGUSU WAMPOKEA KWA SHANGWE WAZIRI CHIKAWE WILAYANI KASULU

10 years ago
MichuziWAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI WAENDELEA KUWASILI KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA
10 years ago
VijimamboZOEZI LA KUGAWA CHAKULA LAENDELEA KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA
10 years ago
MichuziZOEZI LA KUWASAJILI WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU ,WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA
11 years ago
MichuziSerikali yafanikiwa kudhibiti uvunaji haramu wa mazao ya misitu - Mafupa
Hayo yamesemwa na Meneja wa Wakala wa huduma za Misitu Tanzania kanda ya Kaskazini (TFS) bw. Cuthbert Mafupa wakati wa ziara ya waandishi wa Habari waliotembelea hifadhi ya Chome na ile ya Amani iliyipo mkoani Tanga ili kujifunza na kuona hatua...