Viongozi serikalini watakiwa kutoshiriki siasa
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Shirika la Haki za Binadamu Kusini mwa Afrika (SAHRiNGON) wametaka viongozi wa serikali kutoshiriki katika kampeni na kuwaachia wanasiasa wenyewe. Mratibu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo05 Jun
Viongozi wa dini watakiwa kutoshabikia siasa chafu
VIONGOZI wa dini nchini wametakiwa kutojihusisha na kampeni chafu za siasa hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya nyumba za ibada.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ep_QnQb8Oyc/VJIBXKAvdMI/AAAAAAAG3_c/fxTRZlEmVr4/s72-c/unnamed%2B(59).jpg)
WANASIASA WATAKIWA KUTOSHIRIKI KATIKA USHAWISHI WA UHARIBIFU WA MISITU NA MAZINGIRA NCHINI
10 years ago
GPLWAAJIRI SERIKALINI WATAKIWA KUTHAMINI MICHEZO
10 years ago
StarTV04 Feb
Watumishi hewa, wakuu serikalini watakiwa kulitatua
Na Joseph Mpangala,
Mtwara.
TATIZO LA WATUMISHI HEWA: Wakuu wa vitengo serikalini watakiwa kulitatua
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Profesa Mussa Assad amesema suala la kujitokeza watumishi hewa kila mara serikalini na katika taasisi zake linaweza kuondoka iwapo wakuu wa vitengo husika wataamua kuliondoa.
Profesa Assad amesema hayo mkoani Mtwara katika mahojiano maalum na Star TV.
Kila mwaka katika Taarifa ya CAG suala la watumishi hewa linaonekana kujirudia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-WJXvpFDkBME/XkkH7tiRzWI/AAAAAAALdjo/9cgHzV_NXnsKdc7PEAj3CiIISHF-UsskACLcBGAsYHQ/s72-c/c186d94c-5695-4c0b-a8f2-22b7bec590db.jpg)
VIJANA WATAKIWA KUONDOKANA NA KUTEGEMEA AJIRA ZA SERIKALINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-WJXvpFDkBME/XkkH7tiRzWI/AAAAAAALdjo/9cgHzV_NXnsKdc7PEAj3CiIISHF-UsskACLcBGAsYHQ/s640/c186d94c-5695-4c0b-a8f2-22b7bec590db.jpg)
Kauli hiyo imetolewa na Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana, Ajira, Sera na watu wenye ulemavu Mhe, Anthony Mavunde katika Kongamano la Umoja wa vijana CCM mkoa wa Kagera chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Ndg Happiness Runyogote katika ukumbi wa Linas uliopo manispaa ya Bukoba...
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Maofisa serikalini, wadau watakiwa kutoa ushirikiano
Na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
JAMII, maofisa wa Serikali na wadau wengine wametakiwa kutoa ushirikiano unaotakiwa kwa kundi jipya la raia wa Marekani walioanza kujitolea hapa nchini.
Hayo yalisemwa hivi karibuni na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Florens Turuka, ambapo alisema kuwa raia hao wa Marekani wanaojitolea wanahitaji kupewa moyo pamoja na msaada wa kiufundi watakaohitaji.
Alisema raia hao “wanatakiwa kusaidiwa kujifunza na kuzoea mila na kujifunza Kiswahili.”
Akizungumzia...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
CHADEMA Ukonga yashauri viongozi serikalini
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga kimewataka viongozi wa serikali za mitaa pamoja na madiwani kutoa taarifa za mipango ya maendeleo na miradi inayopangwa kufanyika katika maeneo...
9 years ago
Habarileo10 Sep
Watendaji watakiwa kutojihusisha na siasa
WATENDAJI katika halmashauri za wilaya mkoani hapa wametakiwa kutojihusisha na masuala ya siasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, badala yake wawaachie wanasiasa kushughulikia kampeni zao.
10 years ago
Mtanzania12 Feb
CCM watakiwa kuacha siasa za vitisho
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
MJUMBE wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja, amewataka baadhi ya viongozi wa chama hicho kuheshimu haki za wanachama na kuacha siasa za kibabe na kibaguzi kwa kuchunga kauli zao.
Pamoja na hilo, amewataka viongozi hao kutambua hakuna mtu mwenye hatimiliki ndani ya chama hicho ila kila mwanachama ana haki sawa ya kukipigania na kukijenga wakati wote.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mgeja alisema kumekuwa na mambo machafu...