Watumishi hewa, wakuu serikalini watakiwa kulitatua
Na Joseph Mpangala,
Mtwara.
TATIZO LA WATUMISHI HEWA: Wakuu wa vitengo serikalini watakiwa kulitatua
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Profesa Mussa Assad amesema suala la kujitokeza watumishi hewa kila mara serikalini na katika taasisi zake linaweza kuondoka iwapo wakuu wa vitengo husika wataamua kuliondoa.
Profesa Assad amesema hayo mkoani Mtwara katika mahojiano maalum na Star TV.
Kila mwaka katika Taarifa ya CAG suala la watumishi hewa linaonekana kujirudia...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU SERIKALINI
11 years ago
GPLWAAJIRI SERIKALINI WATAKIWA KUTHAMINI MICHEZO
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Viongozi serikalini watakiwa kutoshiriki siasa
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Shirika la Haki za Binadamu Kusini mwa Afrika (SAHRiNGON) wametaka viongozi wa serikali kutoshiriki katika kampeni na kuwaachia wanasiasa wenyewe. Mratibu...
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Maofisa serikalini, wadau watakiwa kutoa ushirikiano
Na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
JAMII, maofisa wa Serikali na wadau wengine wametakiwa kutoa ushirikiano unaotakiwa kwa kundi jipya la raia wa Marekani walioanza kujitolea hapa nchini.
Hayo yalisemwa hivi karibuni na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Florens Turuka, ambapo alisema kuwa raia hao wa Marekani wanaojitolea wanahitaji kupewa moyo pamoja na msaada wa kiufundi watakaohitaji.
Alisema raia hao “wanatakiwa kusaidiwa kujifunza na kuzoea mila na kujifunza Kiswahili.”
Akizungumzia...
5 years ago
Michuzi
VIJANA WATAKIWA KUONDOKANA NA KUTEGEMEA AJIRA ZA SERIKALINI

Kauli hiyo imetolewa na Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana, Ajira, Sera na watu wenye ulemavu Mhe, Anthony Mavunde katika Kongamano la Umoja wa vijana CCM mkoa wa Kagera chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Ndg Happiness Runyogote katika ukumbi wa Linas uliopo manispaa ya Bukoba...
10 years ago
Vijimambo24 Nov
11 years ago
Habarileo11 Sep
Waombwa kusaidia kuwafichua watumishi hewa
WAKUU wa Idara pamoja na viongozi wa taasisi za mifuko ya jamii nchini wameombwa kusaidia serikali kubaini wafanyakazi hewa wanaoendelea kupokea fedha za serikali, lakini wameshastaafu utumishi wao na wengine kufariki dunia.
9 years ago
StarTV25 Nov
Watumishi wa TAMISEMI watakiwa kuifanyia kazi
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa amewaagiza watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI kuichambua hotuba ya Rais Magufuli na kuanza kuifanyia kazi.
Waziri mkuu ametoa maagizo hayo alipokutana na watendaji wa ofisi hiyo ambayo inahusika na utekelezaji wa sera na mipango mbalimbali ya Serikali inayowagusa wananchi moja kwa moja.
Baada ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa kutoa maagizo hayo Katibu Mkuu TAMISEMI, Jumanne Abdalah Sagini anawaambia...
10 years ago
Habarileo04 Sep
Wakuu idara za ujenzi watakiwa kusajiliwa
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ameziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha kwamba wakuu wote wa Idara za Ujenzi wamesajiliwa kama wahandisi wataalamu ifikapo Juni 30, mwakani.