Bilal akemea chokochoko za Muungano
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amevionya vyama vya siasa nchini na kuwataka viongozi wake kuacha kuwapandikiza wananchi mbegu za chuki na uhasama kwa uroho wa madaraka.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo27 Mar
Pemba waonya chokochoko Muungano
MTANDAO wa Watanzania wenye asili ya Pemba waishio Bara (NEPPELTA), umehadharisha juu ya chokochoko na chuki zinazolenga kuvunja muungano na kusema ukivunjika, hautawaacha salama.
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Bilal akemea uharibifu mazingira
11 years ago
Habarileo26 Dec
Askofu Dallu akemea Utanganyika, ahofia Muungano
ASKOFU wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Geita, Damian Dallu, amekemea vuguvugu la watu wanaotaka kuirejesha Tanganyika katika siasa za Muungano.
10 years ago
MichuziDKT. BILAL ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
11 years ago
MichuziDKT. BILAL AWASILI MJINI UNGUJA KUFUNGUA KONGAMANO LA MUUNGANO KESHO
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Makamu wa Rais Dkt. Bilal achukua fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisani moja ya fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati alipofika Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma leo Juni 4, 2015 kwa ajili ya kuchukua fomu hizo. Kushoto ni Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni , Seif Khatib. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisani moja ya fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati...
11 years ago
MichuziMakamu wa Rais,Dkt. Bilal atembelea banda ya Bunge kwenye Maonyesho ya Muungano jijini Dar
11 years ago
Dewji Blog17 Apr
Dkt. Bilal atembelea kukagua mabanda ya maonyesho ya sherehe za Muungano Mnazi Mmoja Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu Chungu na Vibuyu, vilivyotumika kuchanganya Udongo wa Tanganyika na Zanzibar, mwaka 1964, kutoka kwa Mawazo Ramadhan wa Makumbusho ya Taifa, wakati alipotembelea kwenye Banda la Idara ya Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais, alipotembelea maonyesho ya Sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).
Makamu wa...