Kikosi chaundwa kukabili uharibifu wa mazingira
WIZARA nne kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa mazingira nchini wameunda kikosi maalumu kwa ajili ya kupambana na makosa ya ujangili, uvuvi haramu na ukataji miti hovyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Washtushwa na uharibifu wa mazingira
11 years ago
Tanzania Daima09 Aug
Uharibifu mazingira tishio
ZAIDI ya theluthi mbili ya ardhi nchini imeathiriwa na uharibifu wa mazingira, hali iliyosababisha upungufu wa mvua na ongezeko la joto. Mtafiti wa Kilimo wa Taasisi ya Kartin, Abdallah Mpunga,...
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Bilal akemea uharibifu mazingira
11 years ago
Habarileo01 Jun
Bilal: Pambaneni na uharibifu wa mazingira
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal, amewahimiza Watanzania kupambana na uharibifu wa mazingira, kwa sababu kwa sasa kila mtu anashuhudia athari za uharibifu wa mazingira.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-HvW0Yg2yvKI/XsZzf8V2iWI/AAAAAAALrHU/_0oVnWC_Y-8iVF6XSWEgIq-OdUBc9rC0wCLcBGAsYHQ/s72-c/Akionesha%2Bmashinine%2Binavyofanya%2Bkazi%2B%25281%2529.jpg)
UHARIBIFU WA MAZINGIRA KUKABILIWA NA MKAA MBADALA
![](https://1.bp.blogspot.com/-HvW0Yg2yvKI/XsZzf8V2iWI/AAAAAAALrHU/_0oVnWC_Y-8iVF6XSWEgIq-OdUBc9rC0wCLcBGAsYHQ/s640/Akionesha%2Bmashinine%2Binavyofanya%2Bkazi%2B%25281%2529.jpg)
Na, COSTECHTAARIFA ya Wizara ya Kilimo ya mwaka 2019 inaonesha kuwa, kwa miaka mitano iliyopita kuanzia msimu wa mwaka 2013/2014 hadi 2017/18, Tanzania imezalisha chakula kingi kuliko mahitaji yake.
Tathmini ililenga hali ya chakula, uzalishaji wa mazao ya chakula na usalama wa chakula hususani mazao muhimu yanayozingatiwa kama...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-EON2CuxRDFo/VWgrWIaaVTI/AAAAAAAHajc/k4nHroEH2-w/s72-c/PIX-1-2.jpg)
Tanzania kukabiliana na Uharibifu wa Mazingira - Waziri Mahenge
![](http://1.bp.blogspot.com/-EON2CuxRDFo/VWgrWIaaVTI/AAAAAAAHajc/k4nHroEH2-w/s400/PIX-1-2.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Mazingira), Dk. Binilith Mahenge amesema kuwa Serikali inaendelea kukabiliana na changamoto za uharibifu wa mazingira kwa kuhamasisha utekelezaji wa mipango ya kitaifa ya kuhifadhi mazingira pamoja na miongozo yake.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika tarehe 5 Juni kila mwaka ambapo mwaka huu maadhimisho...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
MSEA yajipanga kupambana na uharibifu wa mazingira Tabora
UHARIBIFU wa mazingira katika Mkoa wa Tabora imeelezwa ni mkubwa kutokana na kukithiri kwa shughuli mbalimbali za kijamii zisizozingatia kanuni za utunzaji wa mazingira. Hayo yameelezwa na Meneja Miradi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ep_QnQb8Oyc/VJIBXKAvdMI/AAAAAAAG3_c/fxTRZlEmVr4/s72-c/unnamed%2B(59).jpg)
WANASIASA WATAKIWA KUTOSHIRIKI KATIKA USHAWISHI WA UHARIBIFU WA MISITU NA MAZINGIRA NCHINI
5 years ago
MichuziTFS KANDA YA MASHARIKI WAJENGA JENGO KUBWA LA OFISI NDANI YA MSITU WA VIKINDU KUKOMESHA UHARIBIFU WA MAZINGIRA,UVAMIZI