Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFS KANDA YA MASHARIKI WAJENGA JENGO KUBWA LA OFISI NDANI YA MSITU WA VIKINDU KUKOMESHA UHARIBIFU WA MAZINGIRA,UVAMIZI

 Jengo la ofisi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS) linavyoonekana baada ya ujenzi wake kukamilika na kisha kukabidhiwa rasmi leo Aprili 30 kwa Wakala huo Kanda ya Mashariki ili kuanza kutumika kwa shughuli mbalimbali za kiofisi.  Meneja wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS),Kanda ya Mashariki Caroline Malundo(katikati) akisaini nyaraka za makabidhiano ya jengo la ofisi la TFS Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani.Kushoto ni Mbunifu Majengo Majengo wa TBA-Pwani Greyson Kanyaburugo na kulia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TMDA yakabidhi michoro ya jengo la ofisi yake ya Kanda ya Kati Dodoma kwa mkandarasi NHC

  Pichani ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMDA Bw. Adam Fimbo akimkabidhi Injinia Haikamen Mlekio wa NHC michoro ya ujenzi wa ofici ya Mamlaka utakaofanyika katika eneo Ilazo jijini Dodoma. Ujenzi wa ofisi hiyo ambao unatarajiwa kuchukua miezi 12 toka tarehe 18 Aprili 2020  utakamilika tarehe 17 Aprili 2021.

Kukamilika kwa ujenzi huu kutaiwezesha TMDA kutekeleza majukumu yake kiufanisi katika kuhudumia mikoa ya Kanda ya kati ambayo inajumuisha Dodoma, singida na Morogoro.

TMDA ambayo hapo awali...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KIKAZI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MAZINGIRA KATIKA KANDA YA ZIWA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Dkt. Binillith S.Mahenge akipewa maelezo na Mratibu wa NEMC kanda ya Ziwa Bi. Anna Masasi kuhusu uharibifu wa Mazingira ya Mwambao wa Ziwa Viktoria katika eneo la Nera, unaosababishwa na shughuli za Kilimo na ufugaji wa samaki katika eneo hilo jijini Mwanza. Sehemu ya mwambao wa Ziwa Viktoria katika eneo la Nera jijini Mwanza likionesha shughuli za kilimo zinazofanyika katika eneo hilo na kusababisha uharibifu wa mazingira akioneshwa...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI AHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYA ZA KANDA YA ZIWA ZINAZOTEKELEZA MIRADI YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

 Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Abdulla Juma Saadalla akitembelea  Bandari ya Mwanza Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Abdulla Juma Saadalla akioneshwa kiwanja kitakachotumika kujenga kituo cha utafutaji na uokoaji katika ziwa Victorai (MRCC) njini Mwanza.
Na Faraja Mgwabati Mheshimwa Dkt.Abdulla Juma Abdulla Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki amehitimisha ziara yake ya Siku sita kitika Wilaya  zinazotekeleza miradi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uharibifu mazingira tishio

ZAIDI ya theluthi mbili ya ardhi nchini imeathiriwa na uharibifu wa mazingira, hali iliyosababisha upungufu wa mvua na ongezeko la joto. Mtafiti wa Kilimo wa Taasisi ya Kartin, Abdallah Mpunga,...

 

11 years ago

Mwananchi

Washtushwa na uharibifu wa mazingira

Viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali mkoani Dodoma wamesema uharibifu wa mazingira nchini unaongezeka kwa kasi hivyo ni wakati wa Serikali na taasisi za dini kushirikiana kukabiliana na janga hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Bilal: Pambaneni na uharibifu wa mazingira

MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal, amewahimiza Watanzania kupambana na uharibifu wa mazingira, kwa sababu kwa sasa kila mtu anashuhudia athari za uharibifu wa mazingira.

 

11 years ago

Mwananchi

Bilal akemea uharibifu mazingira

Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal ameonya watu kuacha kujihusisha na uvuvi haramu, uchomaji moto na ukataji miti ovyo ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

 

5 years ago

Michuzi

UHARIBIFU WA MAZINGIRA KUKABILIWA NA MKAA MBADALA

Mbunifu wa mashine ya mkaa utokanao na vumbi la mbao pamoja na pumba za mpunga wa mkoani Singida, Joram Kishaluli akitoa mkaa uliotengenezwa kwa mashine maalumu.
Na, COSTECHTAARIFA ya Wizara ya Kilimo ya mwaka 2019 inaonesha kuwa, kwa miaka mitano iliyopita kuanzia msimu wa mwaka 2013/2014 hadi 2017/18, Tanzania imezalisha chakula kingi kuliko mahitaji yake.

Tathmini ililenga hali ya chakula, uzalishaji wa mazao ya chakula na usalama wa chakula hususani mazao muhimu yanayozingatiwa kama...

 

10 years ago

Habarileo

Kikosi chaundwa kukabili uharibifu wa mazingira

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias ChikaweWIZARA nne kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa mazingira nchini wameunda kikosi maalumu kwa ajili ya kupambana na makosa ya ujangili, uvuvi haramu na ukataji miti hovyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani