WARSHA YA MFUMO MPYA WA USAMBAZAJI DAWA ZANZIBAR (eLMIS) KWA WAKURUGENZI NA MAAFISA WA WIZARA YA AFYA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-Q2EJzxqIHIw/VUJJ3fXBTSI/AAAAAAAHUXI/Mw2WowbpzMA/s72-c/01.jpeg)
Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahran Ali Hamad akitoa maelezo na kuwakaribisha washiriki wa warsha ya usambazaji dawa kwa njia ya kielectroniki iliyofanyika Park Hyatt Hotel Shangani mjini Zanzibar.
Mfamasia Mkuu Zanzibar Habib Ali Shariff akitoa maelezo kuhusu mfumo huo mpya wa kielectroniki ulivyoanza kufanyakazi Zanzibar.
Waziri wa Afya Zanzibar Rashid Seif ambae alikuwa Mwenyekiti wa warsha hiyo akitoa muongozo kwa washiriki .
Mkurugenzi Usimamizi wa Mifumo ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWARSHA YA MFUMO MPYA WA KIELECTRONIKI WA USAMBAZAJI WA DAWA WAFANYIKA ZANZIBAR
10 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAANDAA WARSHA YA KUPITIA SHERIA JUU YA MATUMIZI YA TUMBAKU.
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Wizara ya afya yafuta vibali vilivyotolewa na maafisa utamaduni kwa waganga wa tiba mbadala
Mkuu wa kituo kidogo cha polisi Ndago, Bw.Richard Kimolo (kushoto), Diwani wa kata ya Mbelekese, Bi Monica Samweli (wa pili kutoka kushoto), Katibu mkuu CHAWAMAMU Mkoa wa Singida, Dk.Tano Mika Likapakapa wakiwa kwenye semina ya operesheni tomomeza mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) na vikongwe inayoendelea tarafa ya Ndago, wilayani Iramba.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na Mwandishi wetu, Iramba
WIZARA ya Afya na Ustawi wa jamii imefuta vibali vyote vilivyotolewa na...
9 years ago
VijimamboWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YAZINDUA MFUMO WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA VITUO VYA AFYA TANZANIA BARA
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR MAHMOUD THABIT KOMBO AFUNGA MAFUNZO YA SIKU 10 YA MFUMO WA UKUSANYAJI TAARIFA ZA AFYA
9 years ago
MichuziJUMUIYA YA MAAFISA AFYA ZANZIBAR YATOA MSAADA WA MAJI SAFI NA VIFAA TIBA, KAMBI YA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU CHUMBUNI ZANZIBAR.
10 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATOA ELIMU YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA WAANDISHI WA HABARI
5 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi ya...
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wizara ya Afya yazindua mfumo wa utunzaji wa taarifa wa ‘e-Health’ nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando akitoa hotuba yake ya kuzindua mfumo wa utunzaji wa taarifa za vituo vya afya vya Tanzania Bara jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando akionyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa mfumo wa utunzaji wa taarifa za vituo vya afya vya Tanzania Bara jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wakiwa katika uzinduzio huo.(Magreth Kinabo – Maelezo).
Beatrice Lyimo- MAELEZO
Serikali...