Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TMA YAANDAA WARSHA YA MAFUNZO YA UTUMIAJI WA TEKNOLOJIA YA MFUMO WA KIDIGITAL

Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Bw. Ibrahim Nassib (kulia) akifungua warsha ya mafunzo ya utumiaji wa teknolojia ya mfumo wa kidigital wa ukusanyaji, uandaaji na utumaji wa taarifa za uangazi wa hali ya hewa (DIGITAL METEOROLOGICAL OBSERVATORY (DMO)) na mfumo wa usambazaji wa huduma za hali ya hewa kwa usafiri wa anga (METEOROLOGICAL AVIATION INFORMATION SYSTEM (MAIS), kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri Dkt. Hamza Kabelwa Baadhi ya washiriki wa warsha ya mafunzo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAKARANI 90 WA MAHAKAMA MBALIMBALI NCHINI KUPEWA MAFUNZO YA KUJIFUNZA MFUMO MPYA WA TEKNOLOJIA WA KUDHIBITI MASHAURI MAHAKAMANI KWA NJIA YA KOMPYUTA

    Mhe. Hussein Kattanga, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, akifungua mafunzo hayo rasmi jana, katika maneno yake ya ufunguzi Kattanga amewaasa Makarani kutokufanya kazi kwa mazoea bali kufanya kulingana na misingi ya maadili ya Mahakama iliyopo lengo likiwa ni kubadili taswira ya Mahakama kwa wananchi, (kushoto) ni Msajili wa Mahakama ya Ardhi, Mhe. Lameck Mlacha, kulia ni Naibu Mkurugenzi Mafunzo, Bi. Rehema Vyas.

 Mmoja wa Makarani kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,...

 

5 years ago

Michuzi

MASAWE AGUSIA BAJETI 2020/2021 NA KUSISITIZA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA KILIMO ILI KUENDANA NA TEKNOLOJIA YA KILIMO CHA KIDIGITAL

 Na Mwinyi Mvua PwaniBAADHI wataalamu wa kilimo na mifugo Kibaha, Pwani wamesema bajeti iliyopendekezwa imegusa maslahi ya Mtanzania licha ya kutoa maoni yao kuwa yapo maeneo hayajaguswa kumnufaisha mkulima wa kisasa ikiwemo wataalamu wa ugani wasajiliwe ili kwenda sambamba teknolojia ya kisasa katika kilimo pamoja na kujenga viwanda vingi vya mbolea ndani ya nchi .
Aidha upande wa suala la uboreshaji wa kilimo kwa kuweka mazingira ya upatikanaji wa vifaa vya kilimo kwa gharama nafuu ikiwa ni...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA TRUMARK YAANDAA WARSHA MAALUMU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 7, 2015 ukumbi wa Mlimani City. Wengine kutoka kushoto ni maofisa wa Trumark, Antu Mandoza na Nuru Lyau.Mratibu wa Warsha hiyo Antu Mandoza (kulia), akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari. Kushoto ni Mratibu Msaidizi wa warsha...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAANDAA WARSHA YA KUPITIA SHERIA JUU YA MATUMIZI YA TUMBAKU.

 Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Mohd Dahoma, akifungua warsha ya kupitia sheria ya kudhibiti matumizi ya tumbaku Zanzibar iliyofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resourt Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.  Mshauri wa Ufundi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika William Onzivu akizungumza na washiriki wa warsha  hiyo (hawapo pichani) katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resourt. Afisa kutoka Bodi ya Mapato Tanzania (TRA) akitoa mchango katika warsha ya kupitia sheria...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Trumark yaandaa warsha maalumu maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi, 7, 2015

1

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 7, 2015 ukumbi wa Mlimani City. Wengine kutoka kushoto ni maofisa wa Trumark,  Antu Mandoza na Nuru Lyau.

Mratibu wa Warsha hiyo Antu Mandoza (kulia), akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari. Kushoto ni Mratibu Msaidizi wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya UONGOZI yaandaa warsha ya wadau wa Serikali katika usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi asilia

image001 (2)

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Bw. Johansen Bukwali akisoma hotuba ya ufunguzi wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi asilia kwa niaba ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi -TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia katika ukumbi wa hoteli ya NAF Beach mkoani Mtwara.

image002Mkuu wa Idara ya Utafiti na Sera kutoka Taasisi ya UONGOZI Bw. Dennis Rweyemamu akizungumza kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Profesa Joseph Semboja wakati wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na...

 

10 years ago

Michuzi

Zenith Tour na Travelport watoa mafunzo ya Utumiaji wa Eletronic ya huduma ya ukataji wa tiketi za ndege,Zanzibar

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Zenith Tour Ndg Salim, akizungumza wakati wa mahafali hayo ya Vijana 18 waliohitimu mafunzo ya huduma ya kieletronic ya huduma ya ukataji wa tiketi za ndege yanayotolewa na Travelport kwa kushirikiana na kampuni ya Zenith Tour ya Zanzibar.Meneja Masoko wa Kampuni ya Travelport Tanzania Bi Margret Lislie, akizungumza wakati wa hafla ya Mahafali ya tatu ya Chuo cha Travelport yaliofanyika katika ukumbi wa chuo hicho kilichopo katika jengo la Zanlik majestic...

 

10 years ago

Mtanzania

Indonesia yaandaa mafunzo

NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
INDONESIA imeandaa mafunzo ya kilimo kwa maofisa kilimo wa nchi za Afrika na Mashariki ya Kati yanayolenga kuwajengea uwezo katika kutekeleza majukumu yao.
Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo hayo Dar es Salaam jana , Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano na Diplomasia ya Umma katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Indonesia, Esti Andayani alisema nchi hiyo imeandaa mafunzo yanayofanyika Mei 17 hadi 23 mwaka huu huko Mkindo, mkoani Morogoro.
Mafunzo hayo yamejikita katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani