Kampuni ya Trumark yaandaa warsha maalumu maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi, 7, 2015
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 7, 2015 ukumbi wa Mlimani City. Wengine kutoka kushoto ni maofisa wa Trumark, Antu Mandoza na Nuru Lyau.
Mratibu wa Warsha hiyo Antu Mandoza (kulia), akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari. Kushoto ni Mratibu Msaidizi wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA TRUMARK YAANDAA WARSHA MAALUMU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ITAKAYOFANYIKA MACHI, 7, 2015 MLIMANI CITY JIJINI DAR.
10 years ago
GPLKAMPUNI YA TRUMARK YAANDAA WARSHA MAALUMU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ITAKAYOFANYIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY DAR ES SALAAM MACHI, 7, 2015
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 7, 2015 ukumbi wa Mlimani City. Wengine kutoka kushoto ni maofisa wa Trumark,  Antu Mandoza na Nuru Lyau.  Mratibu wa Warsha hiyo Antu Mandoza (kulia),… ...
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA TRUMARK YAANDAA WARSHA MAALUMU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
10 years ago
Michuzi.jpeg)
MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUFANYIKA MACHI 8, 2015
.jpeg)
Maadhimisho haya hutoa fursa kwa Taifa, mikoa, wilaya na wadau wengine kupima mafanikio yaliyopatikana katika kuwendeleza wanawake na...
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Siku ya wanawake Duniani: Ilikuwaje Machi 8 ikawa Siku ya Wanawake Duniani
Tunaangazia siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa Machi 8 kila mwaka kuanzi jinsi siku hii muhimu iliyobuniwa zaidi ya karne moja ilyopita.
11 years ago
Michuzi.jpg)
Maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani Tarehe 23 Machi, 2014
.jpg)
11 years ago
Michuzi21 Mar
10 years ago
MichuziWanawake Wizara ya Mambo ya Nje washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania