Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FACEBOOK YAPINGA KUWASILISHA TAARIFA ZA WAHALIFU MTANDAO

Mahakama katika nchi mbalimblai zimekua na taratibu zakukusanya vielelezo vya kidigitali vitakavyo toa uthibitisha makosa mbali mbali ya kimtandao.
Mtandano wa kijamii wa Facebook ulitakiwa kuwasilisha taarifa za wateja wake ambao walihusishwa na uhalifu mtandao wa kujipatia pesa kinyume na sharia kupitia mtandao wa kijamii wa facebook.


Mtandao huo wa kijamii wa Facebook umekata rufaa dhidi ya amri hiyo ya mahakama ambapo ilitakiwa kuwasilisha taarifa  za watu takriban 400 waliouhusika...





Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Facebook kuja na mtandao mpya ‘Facebook at Work’

Facebook inaanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya wafanyakazi kuwasiliana na kushirikiana kuhusiana na masuala ya kazi. Facebook at Work utaonekana vile vile kama Facebook ya kawaida, lakini watumiaji watakuwa na uwezo wa kutengenesha akaunti zao binafsi. Watumiaji watakuwa na uwezo wa kuchat na wenzao, kutengeneza mtandao wa kazi na kushare nyaraka mbalimbali. Mtandao huo ambao […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Facebook yapinga kesi kuhusu data

Facebook ililazimishwa kuwasilisha data kuhusu wateja wake waliodaiwa kuhusika na uhalifu

 

11 years ago

Ykileo

WAHALIFU MTANDAO WAITIKISA KOLOMBIA

Polisi Wa  kuzuia uhalifu Mtandao. Wakala unaofuatilia matumizi ya mitandao duniani (IAB) umebaini watumiaji wa intaneti nchini Kolombia wamekua ni asilimia 70 ya wakazi milioni 47 wa nchi hiyo huku ikibainishwa ya kuwa nchi hiyo ukuaji wa uhalifu mtandao umeendelea kukua kwa zaidi.


Mwaka 2011 Kolombia ilikua Nchi ya kwanza kuanzisha sera ya usalama mitandao katika ukanda wan chi za latini amerika kupitia baraza la taifa la nchini humo linaloshughulikia maswala ya sera za uchumi na...

 

11 years ago

Mwananchi

Wahalifu mtandao ni kutungiwa sheria

Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, imesema inaandaa sheria mpya ya usalama na uwezeshaji wa mitambo ya kuweka kumbukumbu ili kudhibiti matukio ya uhalifu wa mtandao.

 

9 years ago

Ykileo

WAHALIFU MTANDAO WATIKISA ANGA YA WANAUSALAMA MITANDAO

Wanausalama mtandao kote duniani walikamilisha tukio muhimu sana linalofanyika kila mwezi Oktoba (Cybersecurity Awareness Month) lenye dhamira ya kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao huku ikiaminika kupitia tukio hilo uhalifu mtandao unaweza kupunguzwa kwa asilimia kubwa. Mataifa mengi yakiwa na mafanikio makubwa kutokana na hili ambapo Tanzania pia kupitia baadhi ya Makampuni  ilipata kushiriki.


Wakati bado mafanikio mbali mbali yakijadiliwa wahalifu mtandao wamegundulika kuja na...

 

9 years ago

Habarileo

Sheria ya Mtandao itawalinda dhidi ya wahalifu - Mbarawa

WAKATI Sheria ya Makosa ya Mtandao inaanza kutumika leo, Serikali imewahakikishia wananchi kuwa sheria hiyo haina lengo la kuwaogopesha wala kuwanyima uhuru wa kuwasiliana, bali itawalinda dhidi ya wahalifu wa mitandao.

 

10 years ago

GPL

MTANDAO WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NCHINI NIGERIA WAINGILIWA NA WAHALIFU

Mtandao wa tume ya uchaguzi nchini Nigeria. Huku mamilioni ya raia wa Nigeria wakipiga kura kumchagua rais mpya,tovuti ya tume ya uchaguzi nchini Nigeria imeingiliwa na wahalifu wa mtandaoni. Kundi linalojiita Jeshi la mtandaoni la Nigeria limeweka ujumbe katika tovuti hiyo likiionya tume ya uchaguzi ya Nigeria dhidi ya kufanya udanganyifu katika uchaguzi huo. kufikia sasa haijulikani iwapo wahalifu hao wameingia zaidi ya...

 

10 years ago

Ykileo

WAHALIFU MTANDAO WATEGEMEWA KUELEKEZA NGUVU ZAO BARANI AFRIKA

Itakumbukwa katika mkutano uliofanyika  mapema mwezi huu  jijini "CAIRO" hofu ya ukuwaji wa uhalifu mtandao unaoweza kurudisha nyuma uchumi wa mataifa ya Afrika  ulipata kujadiliwa kwa kina huku nchi ya Misri ikionyesha washiriki wa mkutano huo jitihada inayoendelea nayo katika kukabiliana na uhalifu mtandao.


Ime ripotiwa na Mtandao wa "MGAFRICA" kuhusiana na kilichojiri katika mkutano uliokamilika jijini Johannesburg, Afrika kusini wa maswala ya usalama mitandao ambapo Bara la Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani