Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Facebook kuja na mtandao mpya ‘Facebook at Work’

Facebook inaanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya wafanyakazi kuwasiliana na kushirikiana kuhusiana na masuala ya kazi. Facebook at Work utaonekana vile vile kama Facebook ya kawaida, lakini watumiaji watakuwa na uwezo wa kutengenesha akaunti zao binafsi. Watumiaji watakuwa na uwezo wa kuchat na wenzao, kutengeneza mtandao wa kazi na kushare nyaraka mbalimbali. Mtandao huo ambao […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Hemedy Kuja na “facebook Profile”

Staa mkali wa bongo movies, Hemmed Selemani ‘PHD’ ameandaa kazi mpya inavyokwenda kwa jina la Facebook Profike.

Ndani ya filamu hiyo iliyodairektiwa na Rashid Mrutu, Hemmed PHD amefanya kazi na mastaa kadhaa kama vile Thadeo Alexander, Meena na Meya.

Wasambazaji wa filamu hiyo Pilipili Entertainment  waliliambia gazeti la KIU kuwa  tofauti  na ilivyozoeleka kwamba  mtandao wa facebook ni kwa ajili ya  kuchati  marafiki na kutangaza shughuli za kibiashara kwa wahusika wa movie hii hali...

 

11 years ago

Ykileo

FACEBOOK YAPINGA KUWASILISHA TAARIFA ZA WAHALIFU MTANDAO

Mahakama katika nchi mbalimblai zimekua na taratibu zakukusanya vielelezo vya kidigitali vitakavyo toa uthibitisha makosa mbali mbali ya kimtandao.
Mtandano wa kijamii wa Facebook ulitakiwa kuwasilisha taarifa za wateja wake ambao walihusishwa na uhalifu mtandao wa kujipatia pesa kinyume na sharia kupitia mtandao wa kijamii wa facebook.


Mtandao huo wa kijamii wa Facebook umekata rufaa dhidi ya amri hiyo ya mahakama ambapo ilitakiwa kuwasilisha taarifa  za watu takriban 400 waliouhusika...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mtandao wa Facebook wapambana na Mabadiliko ya Tabianchi Duniani

DSC_4532

Mwandishi wa habari kutoka, Kigali nchini Rwanda, Michel Nkurunziza ambaye yupo katika mkutano mkuu wa 21 wa Dunia wa Mabadiliko ya tabianchi (COP 21) uonaenddelea katika jiji la Paris, Ufaransa akiwa katika banda maalum la mtandao wa Facebook mapema leo Desemba 11.2015. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[Paris] Mtandao wa kijamii wa Facebook wenye wanachama hai “Active” zaidi ya Bilioni 1.55 Duniani kote, umejitolea kupambana na Mabadiliko ya tabianchi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yafikia wafuasi Milioni Moja katika mtandao wa Facebook

Kampuni ya Tigo Tanzania hivi karibunii metangaza kufikisha wafuasi milioni moja katika mtandao wao wa Facebook. Katika ukarasa wake wa Facebook, www.facebook.com/TigoTanzania kampunii lifikisha mfuasi wa milioni moja Jumapili Desemba 27 mwaka huu hapa Tanzania.

Kutokana na ongezeko la matumizi ya mtandao wa kijamii wa Facebook hapa nchini, Facebook imekuwa mstari wa mbele katika matumizi kutokana uzinduzi wa Facebook katika lugha ya Kiswahili uliofanyika mwaka wa 2014 kwa ushirikiano wa...

 

10 years ago

Michuzi

Group la Kandanda katika Mtandao wa Facebook kuadhimisha miaka mitano ya uwepo wake

Group  la Kandanda katika Mtandao wa Facebook tarehe 25/10/2014 litakuwa likitimiza miaka 4 tangu kuanzishwa ndani ya facebook.
Kuadhmisha siku hiyo, Members wa Kundi hilo wametengeneza timu ambazo ni #TeamDizomoja na #TeamIsmail, ambazo zitachuana siku hiyo katika viwanja vya TCC Sigara-Chang’ombe.
Timu hizo zote mbili zimekuwa na maandalizi ya Takribani Miezi miwili sasa, na usajili ulishafungwa tarehe 11/10/2014.
Sherehe hizo zinatarajiwa kuanza saa 3 Asubuhi ikifuatiwa na Offline...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA TIGO YATANGAZA USHIIRIKIANO NA MTANDAO WA KIJAMII WA FACEBOOK JIJINI DAR LEO.

 Mkuu wa idara ya data na vifaa vinavyotumia intarnet kutoka Tigo, David Zacharia akielezea wateja watakavyotumia huduma hiyo kwa urahisi,mbele ya Wanahabari jijini Dar leo.
 Mkuu wa ukuaji na ushirikiano wa mitandao ya kijamii kutoka Tigo, Naheed Hirji, akielezea upatikanaji wa huduma hiyo.Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria hafla hiyo.

KAMPUNI ya mtandao wa Tigo, imetangaza rasmi ushirikiano kati yao na mtandao wa kijamii wa Facebook ambapo itatoa ofa ya Intaneti itakayotumiwa...

 

11 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI CHUO CHA AFYA BUGANDO AJISHINDIA GARI YA BEFORWARD KUPITIA MTANDAO WA FACEBOOK'

Bwa.Marco Hingi akifurahia mara baada ya kujishindia gari hilo aina ya Noah kutoka kampuni ya Be Forward Meneja  Masoko wa Be forward Tanzania,Bwa Kohei Shibata (kulia) na  Meneja Mkuu wa kampuni hiyo  Isaac  Mbinile  wakimkabidhi ufunguo wa gari mshindi wa gari  aina ya Noah  Marco Hingi (katikati) ambaye ni mwanafunzi wa kutoka  hosipitali ya  bungando, jijini mwanza.  Meneja Mkuu wa kampuni ya uagizaji na usambazaji  magari  ya Be forward Tanzania Issac Mbinile (kushoto) akiongea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani