Mtandao wa Facebook wapambana na Mabadiliko ya Tabianchi Duniani
Mwandishi wa habari kutoka, Kigali nchini Rwanda, Michel Nkurunziza ambaye yupo katika mkutano mkuu wa 21 wa Dunia wa Mabadiliko ya tabianchi (COP 21) uonaenddelea katika jiji la Paris, Ufaransa akiwa katika banda maalum la mtandao wa Facebook mapema leo Desemba 11.2015. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[Paris] Mtandao wa kijamii wa Facebook wenye wanachama hai “Active” zaidi ya Bilioni 1.55 Duniani kote, umejitolea kupambana na Mabadiliko ya tabianchi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Mtandano wa Facebook wapambana na Mabadiliko ya tabianchi Duniani
Mwandishi wa habari kutoka, Kigali nchini Rwanda, Michel Nkurunziza ambaye yupo katika mkutano mkuu wa 21 wa Dunia wa Mabadiliko ya tabianchi (COP 21) unaenddelea katika jiji la Paris, Ufaransa akiwa katika banda maalum la mtandao wa facebook mapema leo Desemba 11.2015. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[Paris] Mtandao wa kijamii wa Facebook wenye wanachama hai “Active” zaidi ya Bilioni 1.55 Duniani kote, umejitolea kupambana na Mabadiliko ya tabianchi...
10 years ago
Bongo519 Nov
Facebook kuja na mtandao mpya ‘Facebook at Work’
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Mabadiliko ya tabianchi kuathiri umeme
MABADILIKO ya tabianchi yametajwa kuchangia kwa kiwango kikubwa kupungua kwa uzalishaji wa umeme unaotokana na vyanzo vya maji, hivyo kukwamisha ukuaji wa uchumi wa nchi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu...
11 years ago
Habarileo21 May
Mfuko wa mabadiliko ya tabianchi kuanzishwa
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inatarajia kuanzisha Mfuko wa Fedha kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, ambayo miongoni mwa athari zake ni uharibifu wa mazingira.
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Nchi zatakiwa kukabili mabadiliko tabianchi
NCHI zinazoendelea zimetakiwa kuongeza rasilimali fedha za hali ya hewa tofauti na fedha za Msaada wa Maendeleo rasmi ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Hayo yalisemwa na...
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
‘Ukosefu mipango huchangia mabadiliko tabianchi’
MKURUGENZI wa Shirika la Maendeleo la Mazombe Mahenge (MMADEA), Raphael Mtitu, amebainisha kuwa ukosefu wa mipango ya matumizi bora ya ardhi ya vijiji ni kikwazo katika utekelezaji wa shughuli za...
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Tovuti mabadiliko tabianchi yazinduliwa Dar
KATIKA kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), imezindua tovuti maalumu ili kuweza kupambana na hali hiyo duniani. Akizungumza katika uzinduzi huo jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Nishati jadidifu ni dawa ya mabadiliko tabianchi
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
Mabadiliko ya tabianchi kuathiri uzalishaji umeme
Na Greyson Mwase, Morogoro
MABADILIKO ya tabianchi yanachangia kwa kiwango kikubwa kupungua kwa uzalishaji wa umeme unaotokana na vyanzo vya maji, hivyo kukwamisha ukuaji wa uchumi wa nchi, imeelezwa.
Hayo yalisemwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava, alipofungua mafunzo yanayowakutanisha wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya Makamu wa Rais– Mazingira na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yanayoendelea mjini Morogoro.
Mhandisi Mwihava...