Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Group la Kandanda katika Mtandao wa Facebook kuadhimisha miaka mitano ya uwepo wake

Group  la Kandanda katika Mtandao wa Facebook tarehe 25/10/2014 litakuwa likitimiza miaka 4 tangu kuanzishwa ndani ya facebook.
Kuadhmisha siku hiyo, Members wa Kundi hilo wametengeneza timu ambazo ni #TeamDizomoja na #TeamIsmail, ambazo zitachuana siku hiyo katika viwanja vya TCC Sigara-Chang’ombe.
Timu hizo zote mbili zimekuwa na maandalizi ya Takribani Miezi miwili sasa, na usajili ulishafungwa tarehe 11/10/2014.
Sherehe hizo zinatarajiwa kuanza saa 3 Asubuhi ikifuatiwa na Offline...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TEAMDIZOMOJA YAICHAPA TEAMISMAIL BAO 4-1 KATIKA KUSHEREHEKEA MIAKA 4 YA KUNDI LA KANDANDA

 Wadau wa Kundi la Kandanda katika Mtandao wa kijamii wa Facebook ambao leo wamekutana pamoja katika kusherehekea maadhimisho ya miaka minne ya Kundi hilo,kwa kusakata mtanange mkali sana katika Uwanja wa TCC Club,Changombe jijini Dar es Saalam.Mtanange huo ulizikutanisha timu mbili zilizoundwa na wadau Dizo Moja na Ismail.TeamDizo iliibuka kidedea kwa kuinyuka TeamIsmail mabao 4-1 bila huruma na kufanikiwa kutwaa kombe la shampeni. Muanzilishi wa Kundi la Kandanda ndani ya Mtandao wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Babu (62) ambaka mjukuu wake wa miaka mitano

Katavi. Mzee wa miaka 62, Rashid Mbogo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda kwa tuhuma za kumbaka mjukuu wake mwenye umri wa miaka mitano.

 

10 years ago

Michuzi

Radio Magic FM 92.9 yazindua masfa yake na kusherehekea miaka 15 ya uwepo wake kwa kishindo mkoani mtwara

Katika hali isiyo ya kawaida wakazi wa mtwara na viunga vyake wakionekana kujitokeza kwa wingi kwenye sherehe za uzinduzi wa masafa ya 92.9 ya kituo cha radio magic Fm inayomilikiw na Africa media group limited ya jijini dar es salaam.Uzinduzi huo ambao ulikwenda sambamba na sherehe za kumbukumbu za miaka 14 ya radio magic Fm ulupambwa na nyota wa muziki wa mwambao mzee yusuphu, pamoja na wasanii nyota wa Bongo Fleva Lady Jaydee  na Ommy Dimpoz pamoja na Mfalme wa taarabu nchini Mzee Yusuf...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BRITAM YAONGEZA UWEPO WAKE KATIKA SOKO LA AFRIKA MASHARIKI

Kampuni ya Bima ya REAL Tanzania sasa imekuwa ni moja kati ya makampuni makubwa  rasmi chini ya Kampuni ya Britam ambayo inatoa huduma mbalimbali za kifedha. Hii inafuatia kununuliwa wa Kampuni hiyo ya Bima na Kampuni ya Britam kutoka Kenya. 
Kufutia hatua hiyo Kampuni ya REAL itakuwa na wigo mpana wa kutoa huduma za bima zikiwemo bima za Afya na Bima za maisha  ambazo tayari kampuni ya Britam imekuwa ikitoa kwa muda mrefu katika ukanda huu wa Afrika Mashariki. Muungano huu utaboresha huduma...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka mitano akamatwa Marekani akiendesha gari la wazazi wake

Mtoto mwenye umri wa miaka mitano amekamatwa na polisi huko Utah Marekani akiendesha gari la wazazi wake

 

5 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka mitano apatikana akiendesha gari la mzazi wake Utah

Akiwa na dola 3 mfukoni mwake, mvulana huyo kutok aeneo la Utah alikuwa anaelekea California kununua gari aina ya Lamborghini.

 

11 years ago

Michuzi

MAMA REGINA LOWASSA AZINDUA KIKUNDI CHA PHENOMENAL WOMEN GROUP KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

DSCF3003Mgeni rasmi katika sherehe ya maadhimisho siku ya wanawake duniani  iliyondaliwa na Phenomenal Women Group, Mama Regina Lowassa akikata keki kuashiria ufunguzi rasmi wa kikundi hicho,Hafla iliyofanyika jana Machi 8/2014 katika ukumbi wa World Garden Moshono jijini Arusha, ambapo kampuni Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 ilishiriki kudhamini siku hiyo ya wanawake duniani. DSCF3007Mgeni rasmi Mama Regina Lowassa akifungua chupa ya wine,kushoto kwake ni Mwenyekiti wa kikundi hicho...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yafikia wafuasi Milioni Moja katika mtandao wa Facebook

Kampuni ya Tigo Tanzania hivi karibunii metangaza kufikisha wafuasi milioni moja katika mtandao wao wa Facebook. Katika ukarasa wake wa Facebook, www.facebook.com/TigoTanzania kampunii lifikisha mfuasi wa milioni moja Jumapili Desemba 27 mwaka huu hapa Tanzania.

Kutokana na ongezeko la matumizi ya mtandao wa kijamii wa Facebook hapa nchini, Facebook imekuwa mstari wa mbele katika matumizi kutokana uzinduzi wa Facebook katika lugha ya Kiswahili uliofanyika mwaka wa 2014 kwa ushirikiano wa...

 

10 years ago

Bongo5

Facebook kuja na mtandao mpya ‘Facebook at Work’

Facebook inaanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya wafanyakazi kuwasiliana na kushirikiana kuhusiana na masuala ya kazi. Facebook at Work utaonekana vile vile kama Facebook ya kawaida, lakini watumiaji watakuwa na uwezo wa kutengenesha akaunti zao binafsi. Watumiaji watakuwa na uwezo wa kuchat na wenzao, kutengeneza mtandao wa kazi na kushare nyaraka mbalimbali. Mtandao huo ambao […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani