MWANAFUNZI CHUO CHA AFYA BUGANDO AJISHINDIA GARI YA BEFORWARD KUPITIA MTANDAO WA FACEBOOK'
Bwa.Marco Hingi akifurahia mara baada ya kujishindia gari hilo aina ya Noah kutoka kampuni ya Be Forward
Meneja Masoko wa Be forward Tanzania,Bwa Kohei Shibata (kulia) na Meneja Mkuu wa kampuni hiyo Isaac Mbinile wakimkabidhi ufunguo wa gari mshindi wa gari aina ya Noah Marco Hingi (katikati) ambaye ni mwanafunzi wa kutoka hosipitali ya bungando, jijini mwanza.
Meneja Mkuu wa kampuni ya uagizaji na usambazaji magari ya Be forward Tanzania Issac Mbinile (kushoto) akiongea...
Michuzi