WAHALIFU MTANDAO WAITIKISA KOLOMBIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-7zcd18w1Ps4/U5HKvaCct9I/AAAAAAAAAo8/Nup8BKQ7i9M/s72-c/123.jpg)
Polisi Wa kuzuia uhalifu Mtandao.
Wakala unaofuatilia matumizi ya mitandao duniani (IAB) umebaini watumiaji wa intaneti nchini Kolombia wamekua ni asilimia 70 ya wakazi milioni 47 wa nchi hiyo huku ikibainishwa ya kuwa nchi hiyo ukuaji wa uhalifu mtandao umeendelea kukua kwa zaidi.
Mwaka 2011 Kolombia ilikua Nchi ya kwanza kuanzisha sera ya usalama mitandao katika ukanda wan chi za latini amerika kupitia baraza la taifa la nchini humo linaloshughulikia maswala ya sera za uchumi na...
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Wahalifu mtandao ni kutungiwa sheria
9 years ago
Ykileo![](http://2.bp.blogspot.com/-ZrF8pZfIYP8/VmDW7rxP_bI/AAAAAAAABr8/1DRlCa7pNeA/s72-c/WEB%2B1.jpg)
WAHALIFU MTANDAO WATIKISA ANGA YA WANAUSALAMA MITANDAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZrF8pZfIYP8/VmDW7rxP_bI/AAAAAAAABr8/1DRlCa7pNeA/s200/WEB%2B1.jpg)
Wakati bado mafanikio mbali mbali yakijadiliwa wahalifu mtandao wamegundulika kuja na...
11 years ago
Ykileo![](http://3.bp.blogspot.com/-j1sXTU2SQCA/U67F8cJ7EJI/AAAAAAAAAzg/8EAWsu7HrBU/s72-c/Facebook.jpg)
FACEBOOK YAPINGA KUWASILISHA TAARIFA ZA WAHALIFU MTANDAO
![](http://3.bp.blogspot.com/-j1sXTU2SQCA/U67F8cJ7EJI/AAAAAAAAAzg/8EAWsu7HrBU/s1600/Facebook.jpg)
Mtandano wa kijamii wa Facebook ulitakiwa kuwasilisha taarifa za wateja wake ambao walihusishwa na uhalifu mtandao wa kujipatia pesa kinyume na sharia kupitia mtandao wa kijamii wa facebook.
Mtandao huo wa kijamii wa Facebook umekata rufaa dhidi ya amri hiyo ya mahakama ambapo ilitakiwa kuwasilisha taarifa za watu takriban 400 waliouhusika...
9 years ago
Habarileo01 Sep
Sheria ya Mtandao itawalinda dhidi ya wahalifu - Mbarawa
WAKATI Sheria ya Makosa ya Mtandao inaanza kutumika leo, Serikali imewahakikishia wananchi kuwa sheria hiyo haina lengo la kuwaogopesha wala kuwanyima uhuru wa kuwasiliana, bali itawalinda dhidi ya wahalifu wa mitandao.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/CCovpYpU0QE/default.jpg)
10 years ago
YkileoWAHALIFU MTANDAO WATEGEMEWA KUELEKEZA NGUVU ZAO BARANI AFRIKA
Ime ripotiwa na Mtandao wa "MGAFRICA" kuhusiana na kilichojiri katika mkutano uliokamilika jijini Johannesburg, Afrika kusini wa maswala ya usalama mitandao ambapo Bara la Afrika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3NiB4LFE7cX360DI7ZyKtaY7SSa1ZZif39SPUm02vc0-aJsp3UstH8YU5HRLIJOR7i88lgE4hzx7vXRjit-EO4ZaGCYvnFY9/nigeria.jpg?width=650)
MTANDAO WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NCHINI NIGERIA WAINGILIWA NA WAHALIFU
10 years ago
MichuziWAHALIFU MTANDAO WATEGEMEWA KUELEKEZA NGUVU ZAO BARANI AFRIKA - WATAALAMU
11 years ago
Mwananchi![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2390840/highRes/791277/-/maxw/600/-/4dwkfqz/-/ssitta.gif)
Urais 2015 waitikisa nchi