WAHALIFU MTANDAO WATEGEMEWA KUELEKEZA NGUVU ZAO BARANI AFRIKA - WATAALAMU
Itakumbukwa katika mkutano uliofanyika mapema mwezi huu jijini "CAIRO" hofu ya ukuwaji wa uhalifu mtandao unaoweza kurudisha nyuma uchumi wa mataifa ya Afrika ulipata kujadiliwa kwa kina huku nchi ya Misri ikionyesha washiriki wa mkutano huo jitihada inayoendelea nayo katika kukabiliana na uhalifu mtandao.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
YkileoWAHALIFU MTANDAO WATEGEMEWA KUELEKEZA NGUVU ZAO BARANI AFRIKA
Ime ripotiwa na Mtandao wa "MGAFRICA" kuhusiana na kilichojiri katika mkutano uliokamilika jijini Johannesburg, Afrika kusini wa maswala ya usalama mitandao ambapo Bara la Afrika...
11 years ago
GPLKAMPUNI YA COMSOFT YA UJERUMANI YAWAPIGA MSASA WAHANDISI NA WATAALAMU WA MASUALA YA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA
11 years ago
Michuzi17 Oct
KAMPUNI YA COMSOFT YA UJERUMANI YA WAPIGA MSASA WAHANDISI NA WATAALAMU WA MASUALA YA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA.
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Wahalifu mtandao ni kutungiwa sheria
11 years ago
Ykileo
WAHALIFU MTANDAO WAITIKISA KOLOMBIA

Mwaka 2011 Kolombia ilikua Nchi ya kwanza kuanzisha sera ya usalama mitandao katika ukanda wan chi za latini amerika kupitia baraza la taifa la nchini humo linaloshughulikia maswala ya sera za uchumi na...
10 years ago
Habarileo01 Sep
Sheria ya Mtandao itawalinda dhidi ya wahalifu - Mbarawa
WAKATI Sheria ya Makosa ya Mtandao inaanza kutumika leo, Serikali imewahakikishia wananchi kuwa sheria hiyo haina lengo la kuwaogopesha wala kuwanyima uhuru wa kuwasiliana, bali itawalinda dhidi ya wahalifu wa mitandao.
11 years ago
Ykileo
FACEBOOK YAPINGA KUWASILISHA TAARIFA ZA WAHALIFU MTANDAO

Mtandano wa kijamii wa Facebook ulitakiwa kuwasilisha taarifa za wateja wake ambao walihusishwa na uhalifu mtandao wa kujipatia pesa kinyume na sharia kupitia mtandao wa kijamii wa facebook.
Mtandao huo wa kijamii wa Facebook umekata rufaa dhidi ya amri hiyo ya mahakama ambapo ilitakiwa kuwasilisha taarifa za watu takriban 400 waliouhusika...
9 years ago
Ykileo
WAHALIFU MTANDAO WATIKISA ANGA YA WANAUSALAMA MITANDAO

Wakati bado mafanikio mbali mbali yakijadiliwa wahalifu mtandao wamegundulika kuja na...