Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPUNI YA COMSOFT YA UJERUMANI YAWAPIGA MSASA WAHANDISI NA WATAALAMU WA MASUALA YA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA

Baadhi ya Wahandisi na wataalamu wa masuala ya usafiri wa anga kutoka barani Afrika wakimsikilza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT  Mr.Manfred Schmid (kushoto) wakati wa semina ya usimamizi wa mitambo ya ADS-B ambayo inatumika kwa ajili ya usalama wa ndege ikiwa  kwenye anga husika. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA COMSOFT YA UJERUMANI YA WAPIGA MSASA WAHANDISI NA WATAALAMU WA MASUALA YA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA.

  Kaimu Mkutugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT  Mr.Manfred Schmid (kushoto)wakimsikiliza kwa makini  Mkurugenzi wa Mradi wa Comsoft  Dr.Gunther Hellstrn ( kulia )wakati alipokuwa akitoa mada juu ya usimamizi wa mitambo ya ADS-B ambayo inatumika kwa ajilia ya usalama wa Anga  wakati semina iliyowahusisha wahandisi wa mamlaka ya usafiri wa Anga Barani Afrika iliofanyika leo ktika Hoteli ya Serena...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA KWANZA WA UMOJA WA VYUO VYA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA (AATO)

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi , Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana . J. Mbwana (Kulia)akisalimiana na Rais wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele Sadamba wakati wa mkutano mkuu wa kwanza wa AATO unaofanyika Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti Uchumi Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Dkt. James Diu.Rais wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA IMEKUA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA KWANZA UMOJA WA VYUO VYA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA(AATO)‏

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi , Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana . J. Mbwana akisalimiana na Rais wa  Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele Sadamba  wakati wa  mkutano mkuu wa kwanza wa AATO  unaofanyika Zanzibar   kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha  mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti Uchumi  Mamlaka ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA YA DHAMINI KONGAMANO LA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA (ICAO)

Afisa wa Kanda ya Afrika wa ICAO Papa Issa Mbengue (kushoto)akisisitiza jambo juu ya mfumo mpya wa shirika la Kimataifa la usafiri wa Anga (ICAO) lenye kulenga ufanisi wa wataalamu wa kuongoza ndege ,vyombo vya usafiri wa anga pamoja na mitambo ya kuongonzea ndege wakati wa Kongamano la mafunzo ya ufanisi wa masuala ya uongozaji wa ndege linalofanyika kwa siku tatu katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wanaomsikiliza ni ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mamlaka ya usafiri wa anga yadhamini kongamano la mafunzo ya mfumo mpya wa shirika la kimataifa la usafiri wa anga — ICAO

05

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha(kushoto) akiongea wakati wa uzinduzi wa kongamano la mafunzo ya mfumo mpya wa shirika la Kimataifa la usafiri wa Anga (ICAO) lenye kulenga ufanisi wa wataalamu wa kuongoza ndege vyombo vya usafiri wa anga pamoja na mitambo ya kuongonzea ndege. katikati ni Meneja mratibu wa safari za ndege Afrika Frederic Legrand, Kongamano hilo linazihusisha nchi za Afrika linafanyika hapa nchini kwa  siku tatu kuanzia leo...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA USAFIRI WA ANGA DUNIANI (ICAO) ATEMBELEA OFISI ZA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KWA USAFIRI WA ANGA NCHINI (TMA)

Katibu Mkuu wa ICAO Bw. Raymond Benjamin akipata maelezo mafupi kutoka kwa Kaimu Meneja Huduma za Hali ya Hewa kwa Usafiri wa Anga Bw. John Mayunga alipotembelea Kituo cha Hali ya Hewa kilichopo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Katika ziara hiyo Bw Raymond alipendezewa na jinsi Mamlaka ilivyoboresha huduma kwa kutumia teknolojia ambapo wateja wanapata ‘flight Folders’ za taarifa za hali ya hewa kwa njia ya kielekronikali (Aviation Information System (AIS). Huduma hii...

 

10 years ago

Michuzi

WAHALIFU MTANDAO WATEGEMEWA KUELEKEZA NGUVU ZAO BARANI AFRIKA - WATAALAMU

Itakumbukwa katika mkutano uliofanyika  mapema mwezi huu  jijini "CAIRO" hofu ya ukuwaji wa uhalifu mtandao unaoweza kurudisha nyuma uchumi wa mataifa ya Afrika  ulipata kujadiliwa kwa kina huku nchi ya Misri ikionyesha washiriki wa mkutano huo jitihada inayoendelea nayo katika kukabiliana na uhalifu mtandao. 

Ime ripotiwa na Mtandao wa "MGAFRICA" kuhusiana na kilichojiri katika mkutano uliokamilika jijini Johannesburg, Afrika kusini wa maswala ya usalama mitandao ambapo Bara la Afrika...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK mgeni rasmi mkutano wa tatu wa Shirikisho la vyama vya wataalamu wa masuala ya chakula na lishe Afrika

01

Rais wa Chama cha Chakula na Lishe Tanzania (FONATA) Prof. Joyce Kinabo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jana jijini Dar es Salaam, kuhusu Mkutano wa tatu wa Shirikisho la Vyama  vya Wataalamu wa Masuala ya Chakula na Lishe Afrika ambao unalenga kutoa fursa kwa wanasansi wa masuala ya lishe ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Dkt....

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA TATU WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATAALAMU WA MASUALA YA CHAKULA NA LISHE AFRIKA KUFANYIKA JIJINI ARUSHA.

 Raisi wa FANUS  Prof.Joyce  Kinabo,akizungumza na waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusiana na mkutano wa tatu wa shirikisho la vyama vya wataalamu wa masuala ya chakula na lishe Afrika,unaotarajiwa kufanyika Mei 24 hadi 29 jijini Arusha kushoto ni Dkt Joyceline Maganda Kaimu Mkurungenzi  Mtendaji ,Taasisi  ya Chakula na Lishe.Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO  Jiji Dar es Salaam leo.Baadhi ya waandishi  wa Habari walio hudhuria katika mkutano wa tatu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani