JK mgeni rasmi mkutano wa tatu wa Shirikisho la vyama vya wataalamu wa masuala ya chakula na lishe Afrika
Rais wa Chama cha Chakula na Lishe Tanzania (FONATA) Prof. Joyce Kinabo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jana jijini Dar es Salaam, kuhusu Mkutano wa tatu wa Shirikisho la Vyama vya Wataalamu wa Masuala ya Chakula na Lishe Afrika ambao unalenga kutoa fursa kwa wanasansi wa masuala ya lishe ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Dkt....
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMKUTANO WA TATU WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATAALAMU WA MASUALA YA CHAKULA NA LISHE AFRIKA KUFANYIKA JIJINI ARUSHA.
9 years ago
MichuziTANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA KIMATAIFA KUHUSU MASUALA YA LISHE NA CHAKULA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-rycGlnSqnHA/VBgaqUi6k9I/AAAAAAAGj5M/OvkGi1coThc/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TATU WA AFRIKA KUHUSU MASUALA YA USIMAMIZI WA KODI
![](http://1.bp.blogspot.com/-rycGlnSqnHA/VBgaqUi6k9I/AAAAAAAGj5M/OvkGi1coThc/s1600/01.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano mkuu wa tatu wa Afrika kuhusu masuala ya usimamizi wakodi uliofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 16, 2014.
![](http://4.bp.blogspot.com/-9qUBVDltHDU/VBgaswVLgCI/AAAAAAAGj5s/KuvIm9EaP3s/s1600/3.jpg)
11 years ago
GPLMAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS, PROFESA ANNA TIBAIJUKA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIZO
Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi wa pili kutoka kulia pamoja na Babu wa Kijiji cha Maisha Plus akiwasalimia akina mama Shujaa wa Chakula ambao wameingia Rasmi Kijiji cha Maisha Plus Jana usiku. Akina Mama Shujaa wa Chakula Wakiwa wanamuimbia wimbo maalum Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi mara baada ya kuwasili Kijijini… ...
10 years ago
VijimamboMkutano wa siku 4 wa Umoja wa vyama vya Walimu wa Nchi za Afrika Mashariki (FEATU)
9 years ago
VijimamboMkutano wa Kilele wa Dunia kuhusu Chakula na Lishe wafunguliwa Arusha
10 years ago
GPLKAMPUNI YA COMSOFT YA UJERUMANI YAWAPIGA MSASA WAHANDISI NA WATAALAMU WA MASUALA YA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA
Baadhi ya Wahandisi na wataalamu wa masuala ya usafiri wa anga kutoka barani Afrika wakimsikilza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT Mr.Manfred Schmid (kushoto) wakati wa semina ya usimamizi wa mitambo ya ADS-B ambayo inatumika kwa ajili ya usalama wa ndege ikiwa kwenye anga husika. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles… ...
10 years ago
Michuzi17 Oct
KAMPUNI YA COMSOFT YA UJERUMANI YA WAPIGA MSASA WAHANDISI NA WATAALAMU WA MASUALA YA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania