MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TATU WA AFRIKA KUHUSU MASUALA YA USIMAMIZI WA KODI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano mkuu wa tatu wa Afrika kuhusu masuala ya usimamizi wakodi uliofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 16, 2014.Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano mkuu wa tatu wa Afrika kuhusu masuala ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
MAKAMU WA RAID DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA UNAOJADILI MASUALA YA AMANI BARANI AFRIKA, LEO JIJINI ARUSHA
.jpg)
.jpg)
11 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 4 WA KITAIFA KUHUSU UBORESHAJI
11 years ago
Dewji Blog28 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa wafanyabiashara wa Bima Barani Afrika
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar Es Salaam, leo Mei 28, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara wa Bima Barani Afrika. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara...
11 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL A AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAFANYABIASHARA WA BIMA BARANI AFRIKA


10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA BIASHARA YA KILIMO KWA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA WASHIRIKA MAJENZI YA KIJANI WA AFRIKA MASHARIKI, JIJINI ARUSHA


10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA BIASHARA YA KILIMO KWA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI LEO
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA WATAALAM WA HUDUMA ZA HABARI NA MAKTABA ZA AFYA AFRIKA (AHILA) JIJINI DAR
11 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA WATAALAM WA HUDUMA ZA HABARI NA MAKTABA ZA AFYA AFRIKA (AHILA) JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya Afrika (AHILA) uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 20, 2014.
