MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 4 WA KITAIFA KUHUSU UBORESHAJI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa 4 wa kitaifa kuhusu uboreshaji Viwango vya huduma ya Afya. Mkutano huo ulifanyika jana Octoba 31-2014 katika ukumbi wa mikutano wa Benki kuu ya Tanzania jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhi tunzo za waliofanya vizuri katika vigezo mbalimbali vya uboreshaji viwango vya huduma ya Afya kwa Mkurugenzi wa huduma za...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA TAASISI ZA FEDHA JIJINI ARUSHA
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA TAASISI ZA FEDHA AICC ARUSHA LEO
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-rycGlnSqnHA/VBgaqUi6k9I/AAAAAAAGj5M/OvkGi1coThc/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TATU WA AFRIKA KUHUSU MASUALA YA USIMAMIZI WA KODI
![](http://1.bp.blogspot.com/-rycGlnSqnHA/VBgaqUi6k9I/AAAAAAAGj5M/OvkGi1coThc/s1600/01.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano mkuu wa tatu wa Afrika kuhusu masuala ya usimamizi wakodi uliofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 16, 2014.
![](http://4.bp.blogspot.com/-9qUBVDltHDU/VBgaswVLgCI/AAAAAAAGj5s/KuvIm9EaP3s/s1600/3.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yGjGK3gW-r4/U9EHMhDJw9I/AAAAAAAF5wg/JgPkq81ioyg/s72-c/unnamed+(10).jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 45 WA CPA JIJINI ARUSHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-yGjGK3gW-r4/U9EHMhDJw9I/AAAAAAAF5wg/JgPkq81ioyg/s1600/unnamed+(10).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-A133jOqr2bM/VPg2U-7TdzI/AAAAAAADbgo/UeczVVQax9M/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA PILI WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMI
![](http://2.bp.blogspot.com/-A133jOqr2bM/VPg2U-7TdzI/AAAAAAADbgo/UeczVVQax9M/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-cA0P9uvOZZI/VPg2U_bZ78I/AAAAAAADbgs/ZYF0TjoTbsw/s1600/2B.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QfWZifxBYNU/VPg7NEpso0I/AAAAAAAHHys/zuGRV5LgNk8/s72-c/unnamed%2B(30).jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA PILI WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
![](http://3.bp.blogspot.com/-QfWZifxBYNU/VPg7NEpso0I/AAAAAAAHHys/zuGRV5LgNk8/s1600/unnamed%2B(30).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-9NoiPvmwFug/VPg7NE--UNI/AAAAAAAHHyo/miYLaMmVW-8/s1600/unnamed%2B(31).jpg)
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua mkutano wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, uliofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Feb 5, 2015. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Kamishina Mstaafu wa TRA, Harry Kitilya, wakati walipokutana baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, uliofanyika...
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA WANGANGA WAKUU LEO JIJINI DAR