MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA TAASISI ZA FEDHA AICC ARUSHA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu changamoto na fursa katika suala zima la uboreshaji sekta ya kilimo hasa kwa wakulima wadogo wadogo, mkutano huo ulifanyika leo Novemba 23-2014 katika ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha. Washiriki wa mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu changamoto na fursa katika suala zima la uboreshaji wa Sekta ya kilimo wakimsikiliza Makamu wa Rais...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA TAASISI ZA FEDHA JIJINI ARUSHA
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA SITA WA VYUO VIKUU MJINI ARUSHA LEO
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 4 WA KITAIFA KUHUSU UBORESHAJI
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 45 WA CPA JIJINI ARUSHA
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR.
Makamau wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 25 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akifurahia jambo na baadhi ya Viongozi wakati wa ufunguzi wa mkutano huo,uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA WASHIRIKA MAJENZI YA KIJANI WA AFRIKA MASHARIKI, JIJINI ARUSHA
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA WANGANGA WAKUU LEO JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog08 Nov
Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua mkutano wa maadhimisho ya miaka 20 ya mahakama ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda ICTR Jijini Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitazama baadhi ya picha za kumbukumbu...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10