Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua mkutano wa maadhimisho ya miaka 20 ya mahakama ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda ICTR Jijini Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), ulioanza leo Novemba 8, 2014 kwenye Ukumbi wa AICC Jijini Arusha. (Picha na OMR). Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitazama baadhi ya picha za kumbukumbu...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 45 WA CPA JIJINI ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wajumbe wa Chama cha Wabunge kutoka nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC jijini Arusha. Mheshimiwa Makamu wa Rais alifungua mkutano wa 45 wa CPA unaozikutanisha nchi za Afrika unaofanyika nchini Tanzania kuanzia leo Julai 24 hadi Julai 27, 2014. Mkutano huo sambamba na masuala mengine pia unajadili juu ya wajibu wa mabunge na mchango wao katika kusimamia utawala...
10 years ago
MichuziMahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) Yatoa Msaada wa Kompyuta Arusha
Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) leo imetoa msaada wa Kompyuta 22, Monitor 154 na Printers 66 kwa mashule, vyuo, vituo vya afya, mashirika yasiyo ya serikali na taasisi zakidini na kijamii pamoja na idara za serikali katika jitihada zake za kusaidia jumuiya ya Kitanzania ambayo imeweza kuilea mahakama hiyo nchini kwa miaka karibu 20 sasa.
Ofisi ya ya Mkuu wa Mkoa yenyewe iliongezewa gari moja la deraya na ulinzi. Makabidhiano hayo yalifanya mjini Arusha...
Ofisi ya ya Mkuu wa Mkoa yenyewe iliongezewa gari moja la deraya na ulinzi. Makabidhiano hayo yalifanya mjini Arusha...
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA TAASISI ZA FEDHA JIJINI ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu changamoto na fursa katika suala zima la uboreshaji sekta ya kilimo hasa kwa wakulima wadogo wadogo, mkutano huo ulifanyika siku ya Jumapili Novemba 23-2014 katika ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha. Washiriki wa mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu changamoto na fursa katika suala zima la uboreshaji wa Sekta ya kilimo wakimsikiliza...
10 years ago
MichuziMahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) yatoa gari kwa jeshi la magereza arusha
Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) imetoa msaada wa gari lililoimarishwa kiusalama - amored vehicle - linaloonekana nyuma kwa Idara ya Magereza nchini kwenye sherehe fupi iliyofanyika mjini Arusha. Akikabidhi gari hilo Mkugenzi wa Idara ya Utawala wa ICTR Dr. Saraha Kilemi alisema kuwa msaada huo ni shukrani za mahakama hiyo kwa Idara hiyo kwa ushirikiano iliyoutoa kwa mahakama hiyo kwa kipindi cha miaka zaidi ya 20 ya kazi za mahakama hiyo...
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA WASHIRIKA MAJENZI YA KIJANI WA AFRIKA MASHARIKI, JIJINI ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano mkuu wa kwanza wa Washirika Majenzi ya Kijani wa Afrika Mashariki, uliofanyika leo Machi 19, 2015 kwenye Hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii, PSPF, Adam Mayingu, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa kwanza wa Washirika Majenzi ya...
9 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO YA WAWAKILISHI WA KAMATI YA KUDUMU YA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA WATAALAMU WA HAKI NA SHERIA, JIJINI ARUSHA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya Kudumu ya Umoja wa Afrika( AU) wakati alipokuwa akiwasili kwenye Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa Kamati ya Kudumu ya Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli hiyo uliokuwa ukijadili kuhusu kuimarisha demokrasi, utawala wa sheria na masuala ya...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA SITA WA VYUO VIKUU MJINI ARUSHA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano wa Sita wa Vyuo Vikuu uliofanyika leo Agost 12-2014 katika Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha. Mkutano huo umewakutanisha washiriki mbalimbali wakiwemo, wanazuoni, wanasayansi, watunga sera na wawakilishi wa wafanyabiashara kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Senegal, Canada, Ujerumani, maofisa wa Benki ya Dunia na wadau mbalimbali wa maendeleo. Lengo la Mkutano huo ni kujadili...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA TAASISI ZA FEDHA AICC ARUSHA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu changamoto na fursa katika suala zima la uboreshaji sekta ya kilimo hasa kwa wakulima wadogo wadogo, mkutano huo ulifanyika leo Novemba 23-2014 katika ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha. Washiriki wa mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu changamoto na fursa katika suala zima la uboreshaji wa Sekta ya kilimo wakimsikiliza Makamu wa Rais...
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA WANGANGA WAKUU LEO JIJINI DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi tunzo kwa wataalamu waoshiriki jitihada za kudhibiti Ugonjwa wa Ebola Afrika Mashariki, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Dnan Mmbando jijini Dar es Salaam leo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi tunzo wataalamu walioshiriki jitihada za kudhibiti ugonjwa wa Ebola Afrika Mashariki, Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania