Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA TATU WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATAALAMU WA MASUALA YA CHAKULA NA LISHE AFRIKA KUFANYIKA JIJINI ARUSHA.

 Raisi wa FANUS  Prof.Joyce  Kinabo,akizungumza na waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusiana na mkutano wa tatu wa shirikisho la vyama vya wataalamu wa masuala ya chakula na lishe Afrika,unaotarajiwa kufanyika Mei 24 hadi 29 jijini Arusha kushoto ni Dkt Joyceline Maganda Kaimu Mkurungenzi  Mtendaji ,Taasisi  ya Chakula na Lishe.Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO  Jiji Dar es Salaam leo.Baadhi ya waandishi  wa Habari walio hudhuria katika mkutano wa tatu wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

JK mgeni rasmi mkutano wa tatu wa Shirikisho la vyama vya wataalamu wa masuala ya chakula na lishe Afrika

01

Rais wa Chama cha Chakula na Lishe Tanzania (FONATA) Prof. Joyce Kinabo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jana jijini Dar es Salaam, kuhusu Mkutano wa tatu wa Shirikisho la Vyama  vya Wataalamu wa Masuala ya Chakula na Lishe Afrika ambao unalenga kutoa fursa kwa wanasansi wa masuala ya lishe ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Dkt....

 

9 years ago

Michuzi

Mkutano wa Masuala ya Serikali Mtandao kufanyika jijini Arusha Agosti 17


Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (katikati) akizungumza na vyombo vya habari leo katika ukumbi wa Habari (MAELEZO) kuhusu mkutano wa Serikali Mtandao utakaowakutanisha Watendaji Wakuu na Maofisa wa Ngazi na Fani Mbalimbali kutoka Serikalini utakaofanyika jijini Arusha Agosti 17-20,2015. 

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA KIMATAIFA KUHUSU MASUALA YA LISHE NA CHAKULA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda (kulia) akimpokea Mfalme wa Lesotho,  Mhe. Letsie III (kulia) alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Kilimanjaro (KIA).  Mfalme Letsie ambaye pia ni Kiongozi wa kuhamasisha masuala ya Chakula na Lishe wa Umoja wa Afrika yupo nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kwanza wa Dunia kuhusu umuhimu wa kuongeza Virutubisho kwenye Chakula. Mkutano huo unafanyika Jijini Arusha kuanzia tarehe 09 hadi 11 Septemba,...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAID DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA UNAOJADILI MASUALA YA AMANI BARANI AFRIKA, LEO JIJINI ARUSHA

 Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Tano wa Mwaka wa kimataifa unaojadili masuala ya Amani barani Afrika kutoka Nchi mbalimbali Barani humo, wakifuatilia kwa makini hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akifungua mkutano huo leo oktoba 21/2014 katika ukumbi wa Maunt Meru Hotel jijini Arusha. Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Tano wa Mwaka wa kimataifa unaojadili masuala ya Amani barani Afrika kutoka Nchi mbalimbali Barani humo,...

 

9 years ago

Vijimambo

Mkutano wa Kilele wa Dunia kuhusu Chakula na Lishe wafunguliwa Arusha

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda akihutubia kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa unahusu masuala ya Lishe na Chakula uliofanyika jijini Arusha. Mhe. Pinda akihutubia Mfalme wa Lesotho Mhe. Letsie III ambaye nae alihudhuria mkutano huo akihutubia wadau mbalimbali na wageni waalikwa walioshiriki katika mkutano huo (hawapo pichani). Balozi wa Tanzania anayeiwakilisha nchini...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano ya wawakilishi wa kamati ya kudumu ya Umoja wa Afrika (AU) na wataalamu wa Haki na Sheria, Jijini Arusha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya Kudumu ya  Umoja wa Afrika( AU) wakati alipokuwa akiwasili kwenye Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa  Kamati ya Kudumu ya  Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli hiyo uliokuwa ukijadili kuhusu  kuimarisha demokrasi,  utawala wa sheria na masuala ya...

 

9 years ago

Michuzi

AKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO YA WAWAKILISHI WA KAMATI YA KUDUMU YA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA WATAALAMU WA HAKI NA SHERIA, JIJINI ARUSHA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Mkutano wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa  Kamati ya Kudumu ya  Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha jana Sept 2, 2015 ambao ulikuwa ukijadili kuhusu  kuimarisha demokrasi,  utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO YA WAWAKILISHI WA KAMATI YA KUDUMU YA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA WATAALAMU WA HAKI NA SHERIA, JIJINI ARUSHA.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya Kudumu ya  Umoja wa Afrika( AU) wakati alipokuwa akiwasili kwenye Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa  Kamati ya Kudumu ya  Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli hiyo uliokuwa ukijadili kuhusu  kuimarisha demokrasi,  utawala wa sheria na masuala ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TATU WA AFRIKA KUHUSU MASUALA YA USIMAMIZI WA KODI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano mkuu wa tatu wa Afrika kuhusu masuala ya usimamizi wakodi uliofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 16, 2014.Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano mkuu wa tatu wa Afrika kuhusu masuala ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani