Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Namna ya kupunguza sumu kuvu hatari katika vyakula

Sumu kuvu au kwa kitaalamu mycotoxin ni aina ya kemikali za sumu inayozalishwa na fangasi wanaoota kwenye baadhi ya mazao ya chakula, hususan nafaka kama vile mahindi na mbegu za mafuta kama karanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

VYAKULA NA MAGONJWA: Hatari ya kumnyonyesha mtoto maziwa ya kopo

Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema kuwa maziwa ya mama ni chanzo kizuri cha lishe bora kwa watoto kuanzia wachanga na ni hakikisho bora la uhai na makuzi ya mtoto.

 

10 years ago

Michuzi

DerevaMakini: Tujadili namna ya kupunguza ajali za mabasi ya abiria (I)

Na Dotto Kahindi.Nianze kwa kuwasalimu na kutoa shukran zangu kwa Blogu hii kwa kunipa nafasi ya kuwasilisha hoja yangu ambayo inalenga kuishirikisha jamii katika kupata suluhisho la ajali za barabarani ambazo zimekuwa ni janga kubwa la kitaifa.Mara kadhaa niliwahi kusikia takwimu za vifo vinavyotokana na magonjwa mbalimbali yakiwemo UKIMWI, Malaria, Vifo vya mama wajawazito n.k, na vifo hivi vilitia uchungu sana kwa jamii kiasi kampeni kadhaa zilianzishwa ili kupunguza vifo hivyo au...

 

10 years ago

Mwananchi

Kupunguza hatari za kupata ugumba

Juma lililopita tuliweza kuona mambo mbalimbali ambayo yakifanyika unaweza kupunguza hatari ya kupata ugumba, mambo hayo ikiwamo ulevi uliopindukia, matumizi ya tumbaku, ufanyaji kazi mazingira ya joto na kuepukana na ngono zembe ili usipate magonjwa ya zinaa.

 

11 years ago

GPL

MUUNGANO WA UTEPE MWEUPE WAKUTANA WAZIRI MKUU PINDA, KUJADILI NAMNA YA KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO

Wajumbe wa Mkutano kati ya Utepe Mweupe na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo Ikulu. Mkutano wa Waziri Mkuu na wajumbe kutoka Muungano wa Utepe Mweupe ukiendelea.…

 

10 years ago

Mwananchi

Usiyoyajua kuhusu nyuzinyuzi katika vyakula

Vyakula vya watu wengi wanaoishi katika miji hapa Tanzania ni vile vinavyotokana na wanyama kama nyama, maziwa, samaki, kuku, mayai, dagaa, soseji na vyakula vilivyotengenezwa kwa kutumia nafaka zilizokobolewa. Vyakula hivi havina nyuzinyuzi za kutosha.

 

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kusuluhisha mgogoro katika ajira

Binadamu tuna tabia mbalimbali. Kuna wavumilivu, kuna wanaopenda kuelimisha wenzao, lakini pia kuna wengine wana hasira za haraka, hutenda bila kufikiri wala kufuata hatua. Waajiri na wajiriwa nao ni miongoni mwa binadamu, kwa hiyo haya yote wanaweza kuyafanya na wao.

 

11 years ago

Dewji Blog

Jamii imetakiwa kutumia vyakula vinavyopatikana katika mazingira yanayowazunguka kuboresha afya za famila zao

DSC_0494

Afisa kutoka Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Bw. Valerian Vitalis Kidole, akiendesha mafunzo ya siku nne ya wanahabari na watangazaji wa redio jamii yaliyofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) kwa kushirikiana na UNESCO yaliyofanyika katika ukumbi wa Kartasi uliopo wilayani Kahama Mkoani Shinyanga.

Na Mwandishi wetu 

Wito huo umetolewa na Afisa kutoka Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Bw. Valerian Vitalis Kidole katika semina ya siku nne kwa waandishi wa habari na...

 

10 years ago

Michuzi

MKAZO UELEKEZWE KATIKA KUPUNGUZA UMASKINI WA VIJIJINI-TANZANIA

Na Mwandishi Maalum, New York Wakati Taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ikionyesha ongezeko la watu wanaoishi katika umaskini Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania imetaka utekelezaji wa Malengo Mapya ya Maendelevu Endelevu baada ya 2015 ujielekeze zaidi katika kuukabili umaskini wa vijijini. Muwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, ameyasema hayo siku ya jumatano wakati alipokuwa akichangia majadiliano ya Taarifa ya ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ghana katika hatari ya marufuku ya FIFA

Shirikisho la kandanda la Ghana limo katika hatari ya kupigwa marufuku na fifa kufuatia uchunguzi wa Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani