MKAZO UELEKEZWE KATIKA KUPUNGUZA UMASKINI WA VIJIJINI-TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-YCOWefh2dag/VEh6dhGP_II/AAAAAAAGs1w/D7ZREMCyIlU/s72-c/unnamed%2B(32).jpg)
Na Mwandishi Maalum, New York Wakati Taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ikionyesha ongezeko la watu wanaoishi katika umaskini Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania imetaka utekelezaji wa Malengo Mapya ya Maendelevu Endelevu baada ya 2015 ujielekeze zaidi katika kuukabili umaskini wa vijijini. Muwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, ameyasema hayo siku ya jumatano wakati alipokuwa akichangia majadiliano ya Taarifa ya ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IWForiY14cw/Uw4j0g7cfhI/AAAAAAAFP3M/hFi9pCPcHyo/s72-c/unnamed+(33).jpg)
semina ya mkakati wa Rasimu ya mawasiliano ya Mazingira endelevu kwa ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini Tanzania
![](http://4.bp.blogspot.com/-IWForiY14cw/Uw4j0g7cfhI/AAAAAAAFP3M/hFi9pCPcHyo/s1600/unnamed+(33).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5nfFqy1kz60/Uw4j1HvmL-I/AAAAAAAFP3Q/lnXB4znmBEk/s1600/unnamed+(34).jpg)
11 years ago
Michuzisemina ya mkakati wa Rasimu ya mawasiliano ya Mazingira endelevu kwa ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini Tanzania yafanyika leo
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WUeP2wEX-UY/VXnEltXDM-I/AAAAAAAC6To/mvkpaAzTD54/s72-c/New%2BPicture.png)
TASAF yazindua Miradi ya kupunguza umaskini Njombe
Hayo yameelezwa mapema leo hii na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, IKULU bwana Peter Ilomo wakati akizindua kikao kazi cha kuanza kwa Viongozi na Watendaji wa Mkoa Njombe juu ya utekelezaji wa miradi hiyo ya kupunguza umaskini kwa ufadhili wa OPEC awamu ya tatu. Bw. Ilomo amesema...
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Zao la ufuta limeanza kufuta umaskini kwa wakulima vijijini
10 years ago
Vijimambo27 Jan
UMASKINI WETU UMENIFANYA NIISHI KWA DAWA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU
Makongoro Oging’ na Issa Mnally, Kibaha/UwaziJaneth Mlahagwa (18) ni mtoto mwenye ulemavu wa ngozi “Albino”, mkazi wa Kijiji cha Mtumbatu, Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro ambaye anadai kwamba kifo kilimsonga kutokana na hali yake kuwa mbaya kila kukicha kwa kukosa matibabu na badala yake alikua akipewa vidonge vya kupunguza maumivu.Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni katika hospitali binafsi ya upasuaji wa mifupa na viungo cha Burere, wilayani Kibaha...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/P1afYajBhxA-QsL6gmHn7vUT9NHMsuxjJPTMDiudyjtpVUb65QvhKh2QC70Ly*w4cG5xIWqZoNoLXHy822jF*YntAeQO6fjx/albino.jpg)
“UMASKINI WETU UMENIFANYA NIISHI KWA DAWA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU”
9 years ago
Dewji Blog21 Oct
SMZ yaipongeza UN kwa kuwezesha fursa za kupunguza umaskini na kuinua maendeleo visiwani humo
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Awa Dabo (kulia) na Mkuu wa ofisi ndogo ya Umoja wa Mataifa Zanzibar, Anna Senga (katikati) wakimkaribisha mmoja wa wageni waalikwa katika sherehe za kutimiza miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Shangani Mjini Zanzibar mwishoni mwa wiki.(Picha na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
SERIKALI ya mapinduzi Zanzibar imesema kuwa itaendelea kuthamini...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-OS-D6vUXkWw/U5cZ2Q1PT7I/AAAAAAAFph0/D59QcZhoPgY/s72-c/Pic+No+2.jpg)
MAADILI YAHIMIZWA NA KUTILIWA MKAZO KATIKA VYUO VYA ELIMU YA JUU NCHINI
Viongozi wakuu kutoka Chuo cha Biashara ‘CBE’ wameaswa kuwa mstari wa mbele katika kulinda na kusimamia uadilifu wa Chuo hicho ili kuhakikisha Taifa linapata wasomi waliojengeka vyema kielimu na kimaadili.
Rai hiyo imetolewa na Katibu Viongozi wa Umma, Ofisi ya Rais - Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Bw. Tixon Tuyangine Nzunda, wakati akitoa Mafunzo ya Maadili kwa Wakurugenzi Wakuu na Wakurugenzi Wasaidizi, kutoka...
10 years ago
GPLJOKATE ATOA SOMO KUJIKWAMUA KATIKA UMASKINI