Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


“UMASKINI WETU UMENIFANYA NIISHI KWA DAWA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU”

Makongoro Oging’ na Issa Mnally, Kibaha/Uwazi
Janeth Mlahagwa (18) ni mtoto mwenye ulemavu wa ngozi “Albino”, mkazi wa Kijiji cha Mtumbatu, Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro ambaye anadai kwamba kifo kilimsonga kutokana na hali yake kuwa mbaya kila kukicha kwa kukosa matibabu na badala yake alikua akipewa vidonge vya kupunguza  maumivu. Janeth Mlahagwa akiwa na mama yake. Akizungumza na gazeti hili hivi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UMASKINI WETU UMENIFANYA NIISHI KWA DAWA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU

Janeth Mlahagwa akiwa na mama yake.
Makongoro Oging’ na Issa Mnally, Kibaha/UwaziJaneth Mlahagwa (18) ni mtoto mwenye ulemavu wa ngozi “Albino”, mkazi wa Kijiji cha Mtumbatu, Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro ambaye anadai kwamba kifo kilimsonga kutokana na hali yake kuwa mbaya kila kukicha kwa kukosa matibabu na badala yake alikua akipewa vidonge vya kupunguza maumivu.Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni katika hospitali binafsi ya upasuaji wa mifupa na viungo cha Burere, wilayani Kibaha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MASHAYO JOSEPH: Ushauri umenifanya niishi kwa amani

“MIMI na mke wangu tunaishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), lakini kutokana na ushauri tuliopata kutoka kwa wataalamu wa afya tumefanikiwa kupata mtoto asiye na maambukizi.” Hayo ni maneno ya...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAKABITHI PESA KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA “JIONGEZE NA MSHIKO”

Gabriel Ferdinand (kulia) mwanafunzi wa Musoma Mara akikabidhiwa fedha na Meneja wa Airtel Musoma, Emmanuel Rafael (Kushoto) baada ya kuibuka mshindi wa droo ya pili ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Hamisi Rashid (kulia) mkulima wa Sikonge, Tabora akikabidhiwa fedha na Meneja wa Airtel Tabora, Phidelis Lugangila (Kushoto) baada ya kuibuka mshindi wa droo ya pili ya shindano la “Jiongeze na Mshiko”....

 

10 years ago

GPL

“NINA TATIZO LA MGONGO”

Stori: Imelda Mtema na Denis Mtima/UWAZI
INASIKITISHA! Mtoto Seif Sudi Seif, 15, (pichani), wa Shule ya Msingi Hedenzeri, Tanga analia kwa uchungu akitaka kusaidiwa ili aweze kutimiza ndoto zake kutokana na tatizo lake la kushindwa kutembea kutokana na kuumwa mgongo. Mtoto Seif Sudi Seif akishindwa kutembea kutokana na tatizo la mgongo. Mama wa mtoto huyo, Fatuma Hemed aliliambia gazeti hili akiwa nyumbani kwa shemeji yake...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Dkt. Diodorus Buberwa mgeni rasmi katika utowaji wa zawadi kwa washindi wa “Na Mimi Nipo- Online Arts & Science Competition”

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa akizungumza wakati wa sherehe hiyo.

Meza Kuu, kuanzia kushoto ni Mratibu Mkuu wa FASDO nchini, Joyce Msigwa, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa, Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Urusi nchini, Alexander Tsykunov na mwisho ni Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande.

Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande akizungumza jambo wakati wa sherehe hizo.

Mratibu wa shindano hilo, Joyce Msigwa...

 

10 years ago

GPL

“WOMEN MAKE IT HAPPEN” - EVENT

Siku Ya Wanawake Dunia huadhimishwa kila ifikapo Tarehe 8, mwezi wa tatu. Siku hii huadhimishwa kwa shughuli mbalimbali na kutambua mchango wa mwanamke katika maendeleo ya Jamii. Mwaka huu kitaifa Siku hii itaadhimishwa mkoani Morogoro lakini kampuni ya TruMark ya mjini Dar es Salaam imeandaa warsha maalum katika maadhimisho hayo ambayo itafanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam Machi 7 mwaka huu.Kauli mbiu ya Siku...

 

10 years ago

GPL

“NIMEPONEA CHUPUCHUPU KUKATWA MGUUU”

Makongoro Oging’ na Issa Mnally
Brown Mwirwa (42), mkazi wa Tunduma wilayani Momba, Mkoa wa Mbeya  ameponea chupuchupu kukatwa mguu wa kulia uliovunjika mara mbili katika ajali ya kugongwa na gari hivi karibuni akiwa abiria kwenye pikipiki.Akizungumza na waandishi wetu katika Hospitali ya Upasuaji wa Mifupa na Viungo Burere iliyopo Kibaha Kwamathias, Pwani alisema ajali hiyo aliipata hivi karibuni akiwa abiria katika...

 

11 years ago

CNN (Blog)

Tanzania's Blood Ivory: “This is madness now”


IPPmedia
Tanzania's Blood Ivory: “This is madness now”
CNN (blog)
That's the dire message from the president of Tanzania, who spoke to CNN's Christiane Amanpour about his country's battle against wildlife poaching. President Jakaya Kikwete joined Amanpour in London, where heads of state are meeting to find a solution ...
Tourism asset protection Tanzanian President bans the sale of ivory stockpileeTurboNews
Tanzania president says poaching boom threatens elephant populationReuters
Mulls...

 

9 years ago

GPL

HITILAFU NDANI YA KIZAZI “ENDOMETRIOSIS”-2

Wiki iliyopita nilianza kulizungumzia tatizo hili na leo nitaimalizia ili wiki ijayo nianze mada nyingine. JINSI YA KUJIKINGA NA TATIZO
Kila mwanamke aliye katika umri wa kuzaa anaweza kupatwa na tatizo hili. Mwanamke aliye katika umri wa kuzaa ni kuanzia msichana aliyevunja ungo hadi yule mama aliyefikia ukomo wa hedhi. Kwa hiyo njia za kujinasua usipatwe na tatizo hili ni kuwa na tabia ya kufanya mazoezi ya mwili mara kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani