AIRTEL YAKABITHI PESA KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA “JIONGEZE NA MSHIKO”
Gabriel Ferdinand (kulia) mwanafunzi wa Musoma Mara akikabidhiwa fedha na Meneja wa Airtel Musoma, Emmanuel Rafael (Kushoto) baada ya kuibuka mshindi wa droo ya pili ya promosheni ya “Jiongeze na Mshikoâ€. Hamisi Rashid (kulia) mkulima wa Sikonge, Tabora akikabidhiwa fedha na Meneja wa Airtel Tabora, Phidelis Lugangila (Kushoto) baada ya kuibuka mshindi wa droo ya pili ya shindano la “Jiongeze na Mshikoâ€....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Airtel yakabithi pesa kwa washindi wa promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”

akikabidhiwa fedha na Meneja wa Airtel Musoma, Emmanuel Rafael
(Kushoto) baada ya kuibuka mshindi wa droo ya pili ya promosheni ya
“Jiongeze na Mshiko”.Wakazi wawili wa Tabora na Musoma wameeleza furaha yao mara baada ya Kampuni ya mawasiliano ya Airtel kuendelea kukonga nyoyo za wateja wake na Watanzania kwa ujumla kwa kuwatangaza na kuwakabithi pesa zao baada ya kuibuka washindi wa wiki ya pili ya promosheni inayoendelea ya “Jiongeze na...
10 years ago
GPLAIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA DRAW YA PILI YA PROMOSHENI YA “JIONGEZE NA MSHIKO”
Afisa Uhusiano na matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (katikati) akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya pili ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka mikoa ya Musoma na Tabora walipatikana akichukua taarifa za mshindi (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha bwana Humudi Abdul Hussein na Afisa huduma za ziada Airtel bwana Fabian Felician. Droo hii...
10 years ago
GPL
AIRTEL IMETANGAZA WASHINDI WA DROO YA NNE YA “JIONGEZE NA MSHIKO”
Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (katikati) akiwasiliana na mmoja wa washindi wakati wa kuchezesha droo ya nne ya promosheni ya Airtel "Jiongeze na Mshiko" iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana, ambapo wateja wawili, Daudi Kingonji wa Dar na Josephat Mahinda wa Manyara waliibuka washindi. Kushoto ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Majjid Bakary na Afisa Huduma za Ziada wa Airtel, Fabian...
10 years ago
MichuziAIRTEL YAPATA WASHINDI WATANO WA PROMOSHENI YA JIONGEZE NA MSHIKO
10 years ago
GPL
AIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA AWAMU YA KUMI YA “JIONGEZE NA MSHIKO'
Afisa huduma za ziada Airtel bwana Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million moja, Sultan Omary, mfanya biashara anayeishi Dar es Salaam (kushoto), baada ya kuwa mshindi katika droo ya tisa ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Meneja wa Airtel mjini Mtwara, Bartholomew Masatu (kulia) akimzawadia shilingi millioni tatu, Hamis Wed Ally, anayeishi Mtwara (kushoto), baada ya kuibuka mshindi katika droo ya tisa ya...
10 years ago
GPLAIRTEL YAPATA WASHINDI WATANO WA PROMOSHENI YA JIONGEZE NA MSHIKO
Afisa huduma za ziada wa Airtel bwana Fabian Felician akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya tano ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka mikoa ya Manyara na Bukoba walipatikana (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha bwana Bakari Majid (kushoto) droo hii imechezwa jana katika makao makuu ya Airtel Moroco jijini Dar es saalam. Afisa huduma za...
10 years ago
Michuzi
AIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA KWANZA WA DROO YA PROMOSHENI YA "JIONGEZE NA MSHIKO"

aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya wiki ya
promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel
kutoka mikoa ya Geita na Mtwara walipatikana akichukua taarifa za
mshindi (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha
bwana Humudi Abdul Hussein na Afisa huduma za ziada Airtel bwana
Fabian Felician.(kati) droo hii imechezwa leo katika makao makuu ya
Airtel Moroco jijini Dar es...
10 years ago
Michuzi
Airtel Yatangaza Washindi wa Draw ya Pili ya Promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”

10 years ago
GPLAIRTEL YAWAZAWADIA WATEJA WAKE MAMILIONI KUPITIA PROMOSHENI YAKE YA “JIONGEZEE NA MSHIKO”
Maneja mauzo wa Airtel Kigoma Philip Nkupama (kushoto) akimzawadia shilingi million moja, Bwana Luwi Saulo Karunda kutoka Kigoma baada ya kuwa mshindi katika droo ya nane ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Afisa huduma za ziada Airtel bwana Fabian Felician.(kulia) akimzawadia shilingi million tatu Habibu Mwella Freuzi (kushoto), shilingi million tatu, baada ya kuwa mshindi katika droo ya nane ya promosheni ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania