Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHAYO JOSEPH: Ushauri umenifanya niishi kwa amani

“MIMI na mke wangu tunaishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), lakini kutokana na ushauri tuliopata kutoka kwa wataalamu wa afya tumefanikiwa kupata mtoto asiye na maambukizi.” Hayo ni maneno ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UMASKINI WETU UMENIFANYA NIISHI KWA DAWA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU

Janeth Mlahagwa akiwa na mama yake.
Makongoro Oging’ na Issa Mnally, Kibaha/UwaziJaneth Mlahagwa (18) ni mtoto mwenye ulemavu wa ngozi “Albino”, mkazi wa Kijiji cha Mtumbatu, Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro ambaye anadai kwamba kifo kilimsonga kutokana na hali yake kuwa mbaya kila kukicha kwa kukosa matibabu na badala yake alikua akipewa vidonge vya kupunguza maumivu.Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni katika hospitali binafsi ya upasuaji wa mifupa na viungo cha Burere, wilayani Kibaha...

 

10 years ago

GPL

“UMASKINI WETU UMENIFANYA NIISHI KWA DAWA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU”

Makongoro Oging’ na Issa Mnally, Kibaha/Uwazi
Janeth Mlahagwa (18) ni mtoto mwenye ulemavu wa ngozi “Albino”, mkazi wa Kijiji cha Mtumbatu, Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro ambaye anadai kwamba kifo kilimsonga kutokana na hali yake kuwa mbaya kila kukicha kwa kukosa matibabu na badala yake alikua akipewa vidonge vya kupunguza  maumivu. Janeth Mlahagwa akiwa na mama yake. Akizungumza na gazeti hili hivi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tusiposikiliza ushauri, tutaandaa katiba mpya itakayovuruga amani

KUMEKUWEPO na hoja zinazotolewa na pande zote kuwa mchakato wa kuandika upya Katiba mpya usitishwe kwa muda ili kutafuta maridhiano na  kusahihisha baadhi ya kasoro za kisheria na kikanuni  zinazolalamikiwa...

 

9 years ago

Michuzi

St. Joseph & Forodhani ALUMNI kufanyika Jumamosi hii Septemba 26, 2015 viwanja vya St Joseph Cathedral High School jijini Dar es salaam

Umoja wa wanafunzi waliosoma shule ya St Joseph convent school  ya jijini Dar es salaam iliyodumu kuanzia mwaka 1932 hadi 1969 . Na Forodhani Sekondari  ilyokuwapo kati ya 1970 hadi 2008 ( ilipotaifishwa na serikali) na baada ya hapo St Joseph Cathedral High school 2009 (baada ya kurudishwa kwa kanisa Katoliki)  hadi leo, tumeungana  na kuitwa  St. Joseph & Forodhani  ALUMNI .

St Joseph &Forodhani ALUMNI imeandaa “reunion” mkutano wa pamoja siku ya Jumamosi tarehe 26 September kwa wanafunzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Tumwache Mwalimu apumzike kwa amani amani

Watangazania urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), wameanza kutangaza nia na wengine kuchukua fomu

 

10 years ago

GPL

JOH MAKINI:MUZIKI UMENIFANYA NISIWE PAKA ROAD

Makala: Shani Ramadhani NI siku nyingine tena tunakutana katika Live Chumba cha Habari cha Global Publishers, na leo tunaye staa wa michano ya Hip Hop kutoka Arusha, John Simon ‘Joh Makini’ambaye alianza kufahamika kuanzia miaka ya 2004/2005 alipotoka na wimbo wake wa Hao, Hawapendi na Chochote, pia ni mmoja kati ya wasanii wanaounda Kundi la Weusi na ni memba wa River Camp Soldiers. … ...

 

9 years ago

Bongo5

Ray: Uchaguzi umenifanya niwajue wasanii wenye akili na wasiokuwa nazo

Muigizaji wa filamu, Vicent Kigosi maarufu kama Ray amesema kupitia uchaguzi mwak mwaka huu ameweza kuwafahamu wasanii mwenye akili na wasiokuwa nazo. Ray kupitia ukurasa wake wa Instagram muigizaji huyo aliandika: FREEDOM OF SPEECH Kuna vitu vingi sana nimegundua kwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili […]

 

9 years ago

Mwananchi

Ushauri mzuri wa Membe kwa diaspora umechelewa

Kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe juzi kuwa atawapigania Watanzania wote wanaoishi nje ya nchi au diaspora ili wapate uraia wa nchi mbili ili hatimaye waweze kushiriki shughuli mbalimbali, zikiwamo za kuiletea nchi yao maendeleo.

 

11 years ago

Mwananchi

Ushauri wa #Kikwete kwa wajumbe wa #Bunge la #Katiba [VIDEO]

Rais Jakaya Kikwete amewataka wajumbe kufanya kazi ilowapeleka Dodoma, kwa kuhakiki na kuichambua kwa kina Rasimu ya Pili iliyowasilishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mnamo Jumanne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani