Ushauri mzuri wa Membe kwa diaspora umechelewa
Kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe juzi kuwa atawapigania Watanzania wote wanaoishi nje ya nchi au diaspora ili wapate uraia wa nchi mbili ili hatimaye waweze kushiriki shughuli mbalimbali, zikiwamo za kuiletea nchi yao maendeleo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWaziri Membe afungua Kongamano la Pili la Diaspora nchini
9 years ago
MichuziWaziri Membe atembelea mabanda ya maonesho wakati wa Kongamano la Diaspora
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-sH3mkf-UXIA/VdsbK2duczI/AAAAAAAADR4/k94FqmGbvnM/s72-c/GILBERT%2BCHADEMA.jpg)
FIRM: CONFIRMED: BEYOND THE REASONABLE DOUBT: MWANA DIASPORA KUELEKEA BUNGENI KWA SAUTI YA DIASPORA
![](http://3.bp.blogspot.com/-sH3mkf-UXIA/VdsbK2duczI/AAAAAAAADR4/k94FqmGbvnM/s640/GILBERT%2BCHADEMA.jpg)
Ndugu zangu wana Diaspora; Nimeanza kazi ya kutengeneza vipeperushi na harakati nyingine za kampeni. Tunatarajia kuzindua kampeni Jumapil August, 30, 2015. Leo nimetengeneza vipeperushi vya kuvaa shingoni 500 kwa Tsh 400/= each. Vinahitajika atleast 20,000. Nimetengeneza 16 vikubwa vya kuweka kwenye magari, Tsh 6250/= each. Jimbo ni kubwa sana; lina wapiga kura 143,189.
Kwa leo nimetumia Tsh 300,000/= kwa vipeperushi 500 vya shingoni na 16 vikubwa kwaajili ya kuweka kwenye magari. Vya...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/MW56Ws7Qp0c/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Nakupongeza Waziri Saada lakini umechelewa
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Ni wakati mzuri kwa TFF kujitafakari upya
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Barnes:Gerrard bado mzuri kwa Liverpool
9 years ago
StarTV11 Nov
Kukosekana kwa mfumo mzuri kwawanyima haki Watoto.
Kukosekana kwa mfumo mzuri wa ushirikishwaji wa watoto nchini katika masuala ya maendeleo ya halmashauri za miji, majiji na kutotengewa bajeti kumechangia watoto hao kutopata haki zao za msingi.
Kutokana na hali hiyo, viongozi wanaopewa dhamana ya kuongoza, wadau na jamii kwa ujumla wanapaswa kuhakikisha watoto wanapata haki za msingi kwa mujibu wa sheria.
Mwenyekiti mtendaji wa shirika la mtandao wa watoto na vijana mkoani Mwanza Shaban Ramadhan ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na...
5 years ago
MichuziHALMASHAURI YA DODOMA INATARAJIA UFAULU MZURI KWA WANAFUNZI
Kauli hiyo ilitolewa na Ofisa elimu sekondari wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Mwalimu Upendo Rweyemamu alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuelezea utimilifu wa maandalizi ya mtihani wa kumaliza kidato cha sita mwaka 2020 katika...