Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumwache Mwalimu apumzike kwa amani amani

Watangazania urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), wameanza kutangaza nia na wengine kuchukua fomu

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MADAKATARI WAMWAMBIA BOBBY BROWN AACHE BOBBI KRISTINA APUMZIKE KWA AMANI

Bobby Brown akiwa nje ya hospitali ya chuo kikuu cha Emory siku ya Alhamisi Feb 5, 2015 kwenye siku yake ya kuzaliwa akipokua ametoka kwa ajili ya kuvuta sigara.Bobby Brown akiongozana na familia ya Houston alipokua akiwasili hospitali mapema leo Alhamisi kumjulia hali mwanae Bobbi Kristina ambaye yupo kwenye koma. Familia ya Houston imekuwanae sambamba tangia siku ya kwanza ya maswahibu ya mtoto Bobbi Kristina.bobby-brown-sad-birthday-at-the-hospitalBobby Brown akiongozana na Gary Houston ambaye ni mpwa wake Whitney...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani

Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Kigwangala aongoza Mbio za Amani 2014, ahimiza amani nchini

Wanasiasa wameaswa kudumisha amani, upendo na mshikamano wa Tanzania, ili kuepuka vurugu zinazoweza kujitokeza ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa zikisababishwa na makundi ya wanasiasa, kwa kutoa ujumbe kwa wananchi unao chochea kuvurugukika kwa amani ya Tanzania. 
Akizungumza na wanamichezo wa vilabu mbalimbali vya kukimbia (Jogging) kutoka Tanzania bara na Zanzibar, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  Mbunge wa jimbo la Nzega, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Tunaweza kumwacha Mwalimu apumzike?

MWAKA huu tuna kwenda kufanya uchaguzi, miaka 20 baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi. Katika Uchaguzi huo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alikuwa ndiyo dira elekezi ya sifa za aina ya Rais tumayemtaka kwa wakati huo.

Oktoba 25, siku ya Uchaguzi Mkuu, tutakuwa tunatimiza miaka 16 na siku 11 ya Tanzania bila Baba wa taifa, hilo lakini halimaanishi kwamba hayupo kabisa kabisa, Mwalimu bado anaishi, yuko kwenye fikra zetu, kwenye mioyo yetu na kwa kweli kila mahali, watu aina...

 

10 years ago

Michuzi

TUTASHIRIKIANA NA WAPENDA AMANI KUISAIDIA DRC KUWA NA AMANI - TANZANIA

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa iliyokuwa ikijadili ajenda kuhusu tathmini ya jumla ya Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kati ya nchi zinazochangia wanajeshi wake katika operesheni hizo za ulinzi wa amani. Sehumu ya wajumbe wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, wakifuatilia...

 

10 years ago

Dewji Blog

9 years ago

Michuzi

WADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI

Hapa ni katika ukumbi wa Vigirmark Hotel mjini Shinyanga ambako jana Jumanne,Oktoba 20,2015,wadau mbalimbali wa amani mkoani Shinyanga wamekutana kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.Kikao hicho kimeandaliwa na uongozi wa mkoa wa Shinyanga likiwemo jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Save The Children linalojihusisha na utetezi wa haki za watoto.
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...

 

9 years ago

StarTV

Wadau wa amani Tanga wajadili udumishaji amani

Wadau wa amani jijini Tanga wamekutana kujadili namna ambayo watadumisha amani kwenye kipindi cha kampeni na uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na nafasi ya urais unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Wadau hao ni viongozi wa dini na wa kisiasa, makundi ya kijamii na waandishi wa habari ambao wote kwa pamoja wametakiwa kutumia nafasi zao kuhakikisha amani inaendelea kuwepo wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi.

Nafasi ya viongozi wa dini, siasa, makundi ya kijamii na waandishi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kumng’oa Dk Amani: Kutaleta amani Bukoba?

>Tuhuma zilizoibuliwa na mbunge wa Bukoba mjini, Balozi Khamis Kagasheki dhidi ya Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk Anatory Amani zimehitimishwa kwa mlalamikaji kupata ushindi na mtuhumiwa kutiwa ‘hatiani’ na taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Fedha za Serikali (CAG).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani